Karne hii bado kuna nchi zinapigana vita?

Huwa nashindwa kuelewa tamaa zinazowapelekea mpaka kuanza vita
Fikiria Marekani yeye ana angalia maslahi yake wala sio amani wala nini bali Mali za wenzake

Sasa sijui wanataka mafuta ya Iran?
Sio kwa kushabikia kote huku
Hata DRC vita yote kisa madini
Kwani hawawezi kupatana bila nguvu

Unasema kweli ila ndio hivyo
Hizo Vita ukiangalia sababu zake hasa ni ideology/dini na kidogo uchumi
 
Baada ya kuona hii vita ya Iran/ Israel, sasa NATO wanatandisha bajeti zao za silaha mpaka 5% ya GDP

Wanahaha sasa
UK watanunua ndege za F-35 ambazo zitabeba nuclear war heads zenye uwezo wa kuuwa maelfu ya watu kwa wakati mmoja

Yaani ni maajabu sana
Hasara walizopata Israel kwa interceptors tu zilikuwa ni $200m kwa siku
Hasara wanazopata ni kubwa sana kuliko faida wanachotaka ni kuitawala dunia kitu ambacho walishindwa katika karne za ukolini hadi sasa wazungu akili zao ndogo sana
 
Hivi nchi kama Palestine Ina potential gani ambayo Marekani inapata baada ya kuitawala?
Marekani hataki kuitawala Palestine bali ni Israel ndio inaitaka sana ardhi yote ya Palestine.
Hasa West Bank ambayo kijiografia Ina eneo lenye rutuba nzuri na maji masafi

Wao wanaamini ni Ardhi yao lakini waliwakuta watu wakiishi hapo kabla.

Suala zima ni siasa, dini na hata ardhi wanayoitaka kimabavu ili waongezeke na kuwa wengi kuliko waarabu.

Sehemu za waarabu kuna milima pia kwa hivyo wanataka au wameweka kambi zao za kijeshi kwa mustakhbali wa baadae

Ila hakuna kitu kwa sasa
Israel kachezea sharubu.
Hakutegemea kabisa
Na sasa hao Wayahudi waliopewa manyumba ya bure Baada ya Palestine kufukuzwa na kubomolewa ili settlers wajitanue

Sasa sidhani kama watakaa tena hapo kwani waliahidiwa ulinzi wa hali ya juu na serikali ya Israel

Hata mashoga waliotoka nchi tofauti wamekimbia na wenzao

Wameona hakuna amani tena hapo baada ya kichapo.

Hata Marekani hana la kufanya tena
Labda wajaribu tena
Ila zaidi ya ardhi ya kuchukua kimabavu sidhani kama wayahudi watarudi tena

Especially hao wenye Uraia pacha
 
Katika karne ya watu waliostaarabika na welevu wa Mambo mipaka ya nchi iliyogawanywa kila nchi na mipaka yake na itikadi au falsafa zake vita zanini?
Tuanzie hapo Mipaka iliyogawanywa na kugawanywa na nani ? Ukizingatia hilo kuna matatizo mengi sana ya leo yamsababishwa na mkoloni kwa kujigawia ardhi sio kutokana na waliopo bali wao wanajipa kitu gani...

Mfano huwezi kuwambia muhaya asiende kuongea na ndugu yake mganda ambaye yule ni ndugu yake zaidi (culturally) kuliko Muhaya na mtu wa Pwani....

Moja people should move anywhere especially kwenye boarders ni ndugu zaidi..., Mbili Resources zinavyopungua watu wanaangalia tofauti zao ili kujipa justification ya kwamba kuna wao na wale na sio SISI.... Case in point sehemu kama Rwanda na Burundi vinchi vidogo unategemea nini ? Kwa sisi tunao angalia mbali nilishawashauri hawa ndugu zetu waanze kuoleana (ili hii mixture iwe homogeneous na sio heterogeneous)

Hasara wanazopata ni kubwa sana kuliko faida wanachotaka ni kuitawala dunia kitu ambacho walishindwa katika karne za ukolini hadi sasa wazungu akili zao ndogo sana
Wapumbavu sana ya kwao yanawashinda

Hapa Uingereza kuna mivutano sana kwenye hii serikali ya Kier

Tuna madeni kibao yaani ukiangalia riba ya madeni ni zaidi ya £1b halafu bado wanataka kununua ndege 12 za kivita kutoka US za F-35

Huku wakikata hela nyingi sana za disability allowance

Wabunge 135 wamemgomea waziri wa fedha ili lisipite na kati ya hao Wabunge 120 ni kutoka chama tawala

Yaani kama wabunge Wetu wagome muswada kupitishwa

Kweli Ulaya kiboko
 
Marekani hataki kuitawala Palestine bali ni Israel ndio inaitaka sana ardhi yote ya Palestine.
Hasa West Bank ambayo kijiografia Ina eneo lenye rutuba nzuri na maji masafi

Wao wanaamini ni Ardhi yao lakini waliwakuta watu wakiishi hapo kabla.

Suala zima ni siasa, dini na hata ardhi wanayoitaka kimabavu ili waongezeke na kuwa wengi kuliko waarabu.

Sehemu za waarabu kuna milima pia kwa hivyo wanataka au wameweka kambi zao za kijeshi kwa mustakhbali wa baadae

Ila hakuna kitu kwa sasa
Israel kachezea sharubu.
Hakutegemea kabisa
Na sasa hao Wayahudi waliopewa manyumba ya bure Baada ya Palestine kufukuzwa na kubomolewa ili settlers wajitanue

Sasa sidhani kama watakaa tena hapo kwani waliahidiwa ulinzi wa hali ya juu na serikali ya Israel

Hata mashoga waliotoka nchi tofauti wamekimbia na wenzao

Wameona hakuna amani tena hapo baada ya kichapo.

Hata Marekani hana la kufanya tena
Labda wajaribu tena
Ila zaidi ya ardhi ya kuchukua kimabavu sidhani kama wayahudi watarudi tena

Especially hao wenye Uraia pacha
Bado wana ukoloni mwingi katika zama za watu waliochangamka Mimi nauita ukosefu wa akili

Sasa Israel ukiwauliza eneo waliokuwa nalo ni dogo ukilinganisha na population yao? Na je ikiwa una population kubwa kulinganisha na resources zako solution ni kuvamia eneo la mwingine au ni kuweka depopulation policy?

Bado wana mentality ya expansionism ya karne ya 16 nyuma ambayo mababu zao walishindwa kuitekeleza hadi wakagawa uhuru kwa mataifa mbalimbali ni sawa na anachofanya Kagame hapo Congo ni ujinga tu kuchezea maisha ya watu kwa kuyafanyia majaribio
 
Tuanzie hapo Mipaka iliyogawanywa na kugawanywa na nani ? Ukizingatia hilo kuna matatizo mengi sana ya leo yamsababishwa na mkoloni kwa kujigawia ardhi sio kutokana na waliopo bali wao wanajipa kitu gani...

Mfano huwezi kuwambia muhaya asiende kuongea na ndugu yake mganda ambaye yule ni ndugu yake zaidi (culturally) kuliko Muhaya na mtu wa Pwani....

Moja people should move anywhere especially kwenye boarders ni ndugu zaidi..., Mbili Resources zinavyopungua watu wanaangalia tofauti zao ili kujipa justification ya kwamba kuna wao na wale na sio SISI.... Case in point sehemu kama Rwanda na Burundi vinchi vidogo unategemea nini ? Kwa sisi tunao angalia mbali nilishawashauri hawa ndugu zetu waanze kuoleana (ili hii mixture iwe homogeneous na sio heterogeneous)

Ukoloni ulishawashinda kitambo tu sasa wanachotaka nini? Walishawatawala watu miaka na miaka wakaona mzigo wakatoa uhuru iki wanachokifanya asaivi ni ukosefu wa akili

Kumbuka waliotawaliwa kipindi hicho ni binadamu mambumbumbu sio sawa na hawa wa asaivi ni mjinga tu ndio anaeweza kufikiri kuwa anaweza kurudisha ukoloni wa mipaka zama hizi

Na kuhusu mipaka iliyowekwa enzi za uhuru hiyo ishawekwa na muingiliano hauathiri utawala kama mobility hiyo italenga ukuaji wa kidiplomasia na uchumi hizi chokochoko za akina Kagame ni ukosefu wa akili
 
Wapumbavu sana ya kwao yanawashinda

Hapa Uingereza kuna mivutano sana kwenye hii serikali ya Kier

Tuna madeni kibao yaani ukiangalia riba ya madeni ni zaidi ya £1b halafu bado wanataka kununua ndege 12 za kivita kutoka US za F-35

Huku wakikata hela nyingi sana za disability allowance

Wabunge 135 wamemgomea waziri wa fedha ili lisipite na kati ya hao Wabunge 120 ni kutoka chama tawala

Yaani kama wabunge Wetu wagome muswada kupitishwa

Kweli Ulaya kiboko
Wanaendekeza ubabe wa kivita wa enzi za giza katika zama za welevu

Marekani hana uchumi wowote ni vile tu ndio Mastermind wa chokochoko duniani. Wenzie wanawekeza katika miradi ya kiuchumi na teknolojia yeye kazi kuinjinia Vita middle East na Ukraine miaka yote
 
Wananchi wengi wana dhiki sana, na hali ni ngumu kwa wazawa
Veterans wanalala barabarani.
Ila wao wanatafuta miradi ya kuwatunishia mifuko yao tu
 
Ukoloni ulishawashinda kitambo tu sasa wanachotaka nini? Walishawatawala watu miaka na miaka wakaona mzigo wakatoa uhuru iki wanachokifanya asaivi ni ukosefu wa akili

Kumbuka waliotawaliwa kipindi hicho ni binadamu mambumbumbu sio sawa na hawa wa asaivi ni mjinga tu ndio anaeweza kufikiri kuwa anaweza kurudisha ukoloni wa mipaka zama hizi

Na kuhusu mipaka iliyowekwa enzi za uhuru hiyo ishawekwa na muingiliano hauathiri utawala kama mobility hiyo italenga ukuaji wa kidiplomasia na uchumi hizi chokochoko za akina Kagame ni ukosefu wa akili
Rudia ikusoma nilichoandika utagundua ulichojibu sicho
 
Ingawa mimi huwa napenda vita hasa vya wakubwa wa Dunia,lakini jamaa umewaza mbali sana.Naanza kufikiria upya kuacha maombi ya vita vya wakubwa.
 
Rudia ikusoma nilichoandika utagundua ulichojibu sicho
Nilichojibu nahisi ni sahihi nimejaribu kuelewa kuwa unamaanisha hiyo mipaka iliyowekwa kutenganisha nchi na nchi sometimes ndio huleta migogoro, if yes!

Nikajibu kuwa kama mobility ya watu waliotenganishwa na mipaka ikawa ni kwa ajili ya kukuza diplomasia na uchumi hakuna shida kuliko kujaribu kuretake sehemu ambayo ishagawanywa na kupewa mamlaka kisheria kama ifanyavyo Rwanda na Urusi ni chokochoko za kipuuzi
 
Case in Point Banyarwanda waliopo Congo ambao walikuwepo hapo hata kabla Belgium hajatenga Congo na kuchukua sehemu ambayo iliwachukua hao Banyarwanda; matokeo yake leo hii kuna watu wanawaambia hao warudi kwao ? Kwao wapi ?!!!
 
Kabla hujajadili original ya watu wanatokea wapi tujiulize kwani kuna ubaya gani wewe mtanzania kuishi na mrundi au mhutu as long as hakudhuru kwa chochote? Na kama anakudhuru kwanini akurudhuru na kwanini asiishi na wewe kwa upendo na amani?

Wangapi wanazamia mataifa ya watu na wanaishi kwa amani na pia wamepokelewa kwa amani USA, CANADA, SOUTH AFRICA na kwingineko? Je kuishi nje ya mipaka ulipozaliwa ni kosa?

Kwahiyo marginal boundaries haziwezi kuhalalisha Vita ukiona watu wanapigana Vita kugombania mipaka akili zao haziwatoshi
 
Wananchi wengi wana dhiki sana, na hali ni ngumu kwa wazawa
Veterans wanalala barabarani.
Ila wao wanatafuta miradi ya kuwatunishia mifuko yao tu
Akili za kuazima hizo nawapenda China sana wapo busy na innovations tu
 
Kabla hujajadili original ya watu wanatokea wapi tujiulize kwani kuna ubaya gani wewe mtanzania kuishi na mrundi au mhutu as long as hakudhuru kwa chochote? Na kama anakudhuru kwanini akurudhuru na kwanini asiishi na wewe kwa upendo na amani?

Wangapi wanazamia mataifa ya watu na wanaishi kwa amani na pia wamepokelewa kwa amani USA, CANADA, SOUTH AFRICA na kwingineko? Je kuishi nje ya mipaka ulipozaliwa ni kosa?

Kwahiyo marginal boundaries haziwezi kuhalalisha Vita ukiona watu wanapigana Vita kugombania mipaka akili zao haziwatoshi
Self Preservation is a close Cousin of Aggression..., na resources zinapoanza kuwa chache Amini nakwambia chokochoko itaanza; mifano ni lukuki Hitler na Jews; Afrika Kusini na wahamiaji; Mtikila na Gambachori; Dar watu wa Kariakoo walivyoanza chokochoko na Wachina n.k. Huko USA na Canada wabongo hawahodhi commanding heights wakati wengine (so called wazawa) wamepigika....;

By the way vita navyo ni biashara za watu USA imekuwa ikifadhili dissidents kwa ajili ya kupigana proxy wars....;

NB: Of all the animals, man is the only one that is cruel. He is the only one that inflicts pain for the pleasure of doing it.
 
Vita ni matumizi madogo ya akili let's say resources hazitoshi coz of migration only solution ni kudundana? Hakuna mbadala wa hilo?

Hitler alikuwa taahira mmoja hajawahi kutokea duniani, utawezaje kuwaua watu kwenye chemba eti upoteze kizazi sure? Ni kweli waliongezeka kwa kasi kipindi hicho hasa baada ya kufukuzwa makwao lakini si kweli kuwa walijazana hadi wenyeji wakakosa mkate ni chuki tu kwa Jews na aggression za majews pia

Not all man are cruel, ni baadhi ya mataahira yasiyokubali kustaarabika
 
Back
Top Bottom