Tu-regulate vizuri ELIMU ya NCHI hii. Shule za SERIKALI zimefisadiwa vibaya. Hazifai. Ni umasikini tu unafanya ziendelee kuwepo. Vinginevyo sioni busara ya kuendelea kuwa na wizara ya ELIMU ambayo inasimamia ULANGUZI wa ELIMU.hamieni kwenye basi, si lazima mwanao asome hapo. Ni hiari ya mtu.
Pole mkuu, its too much. Na si vyema kumtoa shule 'nzuri' kumpeleka ya kawaida
Kwa nini tuna-regulate:
-Mawasiliano(TCRA);
-Nauli(SUMATRA);
-Mifuko ya Jamii(SSRA);
-Maji na nishati(EWURA);
Tumeshindwa ku-regulate ELIMU? Hivi kati ya vyote hivyo kuna kilicho muhimu kuliko ELIMU nchi hii?
inawezekana, inaitwa darajani day care, yule mama wa kighana ni mama mzuri sana, imagine alinifundisha mimi nursery school, na leo hii kawafundisha watoto wangu, ila sasa kaleta administrator sijui anaitwa TAUSI, huyo dada sasa ndiye kimeo, kabadilisha mafees na hataki installments. nimeshadata hapa, hata grade one hawajaanza, cjui itakuaje??cacico watoto wetu wako shule moja nini? Hili balaa sasa
Cacico niPM bank details, tuko pamoja!! (Hakyanani sitakudai kwa namna yoyote ile, i promise!)inawezekana, inaitwa darajani day care, yule mama wa kighana ni mama mzuri sana, imagine alinifundisha mimi nursery school, na leo hii kawafundisha watoto wangu, ila sasa kaleta administrator sijui anaitwa TAUSI, huyo dada sasa ndiye kimeo, kabadilisha mafees na hataki installments. nimeshadata hapa, hata grade one hawajaanza, cjui itakuaje??
libberman ilianza na 1m primary na nrsery ilikuwa 1.2m, sasa hivi nursery na primary zote ni 2m kuanzia january, hapo ume-exclude transport na uniforms!Aisee pole sana!!! Kuna moja inalipwa 2.4 Nursery, bado uniform!!!! Kweli serikali sikivu au dhaifu!!! Huwezei kufanya market mechanism kwa kitu muhimu kama elimu!!!! Ni mwiko!! Matokeo yake ndo kama hivi sasa!! Tunalia na hakuna wa kutusikiliza.
aaawwww thanx Kana-Ka-Nsungu, am humbly humbled!! na receipt nitakutumia kuwa nimelipa ada, ngoja nikutumie bank account yangu, thanx buddy! ni kazi si mchezo ku-raise twins, kila kitu una-double!!Cacico niPM bank details, tuko pamoja!! (Hakyanani sitakudai kwa namna yoyote ile, i promise!)
Inabidi uanze kucheza defensively sasa manake jamaa akikusukumia pacha nyingine tena itakua balaa kwa ada hizo zilivokaa!!lolaaawwww thanx Kana-Ka-Nsungu, am humbly humbled!! na receipt nitakutumia kuwa nimelipa ada, ngoja nikutumie bank account yangu, thanx buddy! ni kazi si mchezo ku-raise twins, kila kitu una-double!!
Mulugo ni mdau mkubwa wa shule hizi za kilanguzi. Mtaji wa kugombea UBUNGE kaupata hukohuko. Hawezi kuthubutu kuzikemea shule hizi. Na kwakweli ndie anayezuia jitihada zozote za kuanzisha mamlaka ya ku-regulate ELIMU au hata kuipa meno TEA iifanye kazi hii.Nakushauri mpigie simu Mulugo, ila tafadhali usitumie English hatokuelewa!
Hapana. Mulugo ndie anayesimamia ULANGUZI huu wa ELIMU yetu kwa nguvu zote. Ndio maana anazichukia sana hizi tuition classes za mitaani ambazo ndio mkombozi wa wanafunzi wa shule za serikali. JK hajaugundua usanii wa Mulugo na conflict of interest aliyonayo Mulugo kwenye kuongoza wizara hii.Mulugo ndio Regulator