Karo ya shule baobab yapanda ghafla

Karo ya shule baobab yapanda ghafla

hamieni kwenye basi, si lazima mwanao asome hapo. Ni hiari ya mtu.
Tu-regulate vizuri ELIMU ya NCHI hii. Shule za SERIKALI zimefisadiwa vibaya. Hazifai. Ni umasikini tu unafanya ziendelee kuwepo. Vinginevyo sioni busara ya kuendelea kuwa na wizara ya ELIMU ambayo inasimamia ULANGUZI wa ELIMU.
 
Tumefika mahala WATANZANIA tunatambiana wapi wanakosoma watoto wetu! Hii imewapa kiburi sana wamiliki wa shule hizi.
 
Pole mkuu, its too much. Na si vyema kumtoa shule 'nzuri' kumpeleka ya kawaida

hakuna shule nzuri wala ya kawaida, shule ni mwanafunzi elimu ni kuamua watu tumesoma shule za kata now tupo muhimbili university ni kujipanga tu.
 
shule hizo hamna kituu ni kutupa hela jalalani ,, shule za serikali ni boora sanaaa private mbwembwe tuu na ufahari na bado mwishowe topten yote ya kitaifa itajaa shule za serikali tuuu nyie wa 2.6 tupeni hela, pia kama hiyo ada imepanda hivyo ni vyema kutafuta shule nyingine ya private ambayo itakuwa na walimu wazuri na pia ada nafuu
 
shule hizo hamna kituu ni kutupa hela jalalani ,, shule za serikali ni boora sanaaa private mbwembwe tuu na ufahari na bado mwisho topten yote ya kitaifa itajaa shule za serikali tuuu nyie wa 2.6 tupeni hela, pia kama hiyo ada imepanda hivyo ni vema kutafuta shule nyingine ya private ambayo itakuwa na walimu wazuri na pia ada nafuu
 
Halafu unakutana na jitu linam.***** binti yako unayelipa haya mahela sijui utam.tia na wewe?
ha ha ha ha ha!! Nduka punguza jaziba!!!huyo ndo swai bwana!!
 
Last edited by a moderator:
Hii Baobab ndio ile ya wasichana iko njia kama unaelekea Bagamoyo?
 
Kazi kweli kweli hapa dawa ni kuwa mtoto m1 2 akiwa galasa basi. Nursery 1.6m sekondary 3.7 chuo mkopo lazima akose kama mzazi ulilipa 3.7 utashindwa nn kulipa 3m chuo. That's wat happened kwa mdogo wangu wa mwisho pamoja na kufaulu vizuri f6 hajapata mkopo kisa eti alisoma shule ya kishua o_levels. ***** zao bodi ya mikopo.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwa nini tuna-regulate:
-Mawasiliano(TCRA);
-Nauli(SUMATRA);
-Mifuko ya Jamii(SSRA);
-Maji na nishati(EWURA);
Tumeshindwa ku-regulate ELIMU? Hivi kati ya vyote hivyo kuna kilicho muhimu kuliko ELIMU nchi hii?

Mulugo ndio Regulator
 
Karo ya shule ya secondari inazidi karo niliyolipa miaka yote kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo kikuu miaka yote mitatu.

Wenye shule wanacheza na market forces...demand and supply. Ndio sisi tunawasifia kwamba wana shule bora na wala hatupigii kelele huduma ziboreshwe shule za serikali sasa wenyewe wafanyeje?

Kila mfanyabiashara hufanya hivyo. Akiona bidhaa ni adimu sokoni atapandisha bei tu, hata ungekuwa wewe ungefanya hivyo. Mambo haya hayana tofauti na wafanya biashara wa Kariakoo wanaonunua vinguo vya bei ya kutupwa china na kutuuzia kwa bei ghari eti ni catalogue!

Karo nyingine hazina hata justification!
 
cacico watoto wetu wako shule moja nini? Hili balaa sasa
inawezekana, inaitwa darajani day care, yule mama wa kighana ni mama mzuri sana, imagine alinifundisha mimi nursery school, na leo hii kawafundisha watoto wangu, ila sasa kaleta administrator sijui anaitwa TAUSI, huyo dada sasa ndiye kimeo, kabadilisha mafees na hataki installments. nimeshadata hapa, hata grade one hawajaanza, cjui itakuaje??
 
inawezekana, inaitwa darajani day care, yule mama wa kighana ni mama mzuri sana, imagine alinifundisha mimi nursery school, na leo hii kawafundisha watoto wangu, ila sasa kaleta administrator sijui anaitwa TAUSI, huyo dada sasa ndiye kimeo, kabadilisha mafees na hataki installments. nimeshadata hapa, hata grade one hawajaanza, cjui itakuaje??
Cacico niPM bank details, tuko pamoja!! (Hakyanani sitakudai kwa namna yoyote ile, i promise!)
 
Aisee pole sana!!! Kuna moja inalipwa 2.4 Nursery, bado uniform!!!! Kweli serikali sikivu au dhaifu!!! Huwezei kufanya market mechanism kwa kitu muhimu kama elimu!!!! Ni mwiko!! Matokeo yake ndo kama hivi sasa!! Tunalia na hakuna wa kutusikiliza.
libberman ilianza na 1m primary na nrsery ilikuwa 1.2m, sasa hivi nursery na primary zote ni 2m kuanzia january, hapo ume-exclude transport na uniforms!

academic pale karibu na coca cola, huwa sielewi ada zao, naona kila darasa lina ada zao, nilikwenda kuomba forms za grade one niwapeleke twins, nikaambiwa full kulipa kila kitu mpaka transport ni 3m mtoto mmoja, JAMANIIIIIIIIII NINA TWINS!!! sijui kilio changu nani atakisikia! mwisho nitawapeleka mlimani primary school niliposoma mimi kwa mama mndolwa, biashara iishe!
 
Cacico niPM bank details, tuko pamoja!! (Hakyanani sitakudai kwa namna yoyote ile, i promise!)
aaawwww thanx Kana-Ka-Nsungu, am humbly humbled!! na receipt nitakutumia kuwa nimelipa ada, ngoja nikutumie bank account yangu, thanx buddy! ni kazi si mchezo ku-raise twins, kila kitu una-double!!
 
Last edited by a moderator:
aaawwww thanx Kana-Ka-Nsungu, am humbly humbled!! na receipt nitakutumia kuwa nimelipa ada, ngoja nikutumie bank account yangu, thanx buddy! ni kazi si mchezo ku-raise twins, kila kitu una-double!!
Inabidi uanze kucheza defensively sasa manake jamaa akikusukumia pacha nyingine tena itakua balaa kwa ada hizo zilivokaa!!lol
 
Wataregulate vp wakati shule ni zao au maswahiba zao ama hutembeza bakuli humo wakati wa chaguzi?ukishaamua kumsomesha mwanao huko ni kama umeamua kujilipua huwezi tena kuvaa bullet proof
 
Nakushauri mpigie simu Mulugo, ila tafadhali usitumie English hatokuelewa!
Mulugo ni mdau mkubwa wa shule hizi za kilanguzi. Mtaji wa kugombea UBUNGE kaupata hukohuko. Hawezi kuthubutu kuzikemea shule hizi. Na kwakweli ndie anayezuia jitihada zozote za kuanzisha mamlaka ya ku-regulate ELIMU au hata kuipa meno TEA iifanye kazi hii.
 
Mulugo ndio Regulator
Hapana. Mulugo ndie anayesimamia ULANGUZI huu wa ELIMU yetu kwa nguvu zote. Ndio maana anazichukia sana hizi tuition classes za mitaani ambazo ndio mkombozi wa wanafunzi wa shule za serikali. JK hajaugundua usanii wa Mulugo na conflict of interest aliyonayo Mulugo kwenye kuongoza wizara hii.
 
Back
Top Bottom