- Thread starter
- #21
Tu-regulate vizuri ELIMU ya NCHI hii. Shule za SERIKALI zimefisadiwa vibaya. Hazifai. Ni umasikini tu unafanya ziendelee kuwepo. Vinginevyo sioni busara ya kuendelea kuwa na wizara ya ELIMU ambayo inasimamia ULANGUZI wa ELIMU.hamieni kwenye basi, si lazima mwanao asome hapo. Ni hiari ya mtu.