Karugendo aonya: Acheni kumchafua Bashiru


Basi kuwa muwazi na sema nani kaiba pesa hizi
 
Hii inaweza kuwa njia mojawapo ya kujustify huo upotevu
 
Sababu Muhaya mwenzie tangu lini ukaujua Moyo wa MTU

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Huyo Karugendo mbona hajamtetea mwenzake na huyo Bashiruu au kwakuwa siyo mhaya?
 

 
Huyu alifukuzwa upadri baada ya kula waumini.

Bashiru waa kipindi ya Jk ni tofauti na wa kipindi cha meko.
Karugendo apige kimya
Takukuru wakipeleka report ya bOt ajue kabis bashiru anaenda lock up
Asante sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…