Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Watu wanaongea Tu, ndio maana inamake sense kuona moja ya wadau wakuu wa accnt ya Kigogo ni hao akina MakambaBashiru ajachukua pesa yoyote, pesa ya serikali tena billions of money haitoki kama imewekwa kwenye sanduku.
Watu wanamuogopa Bashiru 2025.