Karugendo aonya: Acheni kumchafua Bashiru

View attachment 1736895

Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.

Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.

Watu wapo clean na awana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.

Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.

Basi kuwa muwazi na sema nani kaiba pesa hizi
 
Mh Samia asicheke na nyani usoni ,ikithibitika kina bashiru na mpwa wamepiga pesa waende jela....wanakwapua fedha na ndio maana serikali inaenda kuchukua fedha za NSSF kufidia hazina ambayo haina kitu lakin serikali ikiwa na fedha NSSF watakuwa wanatoa mafao kwa wakati.
Hii inaweza kuwa njia mojawapo ya kujustify huo upotevu
 
View attachment 1736895

Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.

Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.

Watu wapo clean na awana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.

Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
Sababu Muhaya mwenzie tangu lini ukaujua Moyo wa MTU

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 1736895

Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.

Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.

Watu wapo clean na awana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.

Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
Huyo Karugendo mbona hajamtetea mwenzake na huyo Bashiruu au kwakuwa siyo mhaya?
 
1616948201694.jpeg

View attachment 1736895

Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.

Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.

Watu wapo clean na awana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.

Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
 
Huyu alifukuzwa upadri baada ya kula waumini.

Bashiru waa kipindi ya Jk ni tofauti na wa kipindi cha meko.
Karugendo apige kimya
Takukuru wakipeleka report ya bOt ajue kabis bashiru anaenda lock up
Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom