Karugendo aonya: Acheni kumchafua Bashiru

Karugendo na Bashiru wote ni nshomile lazima wateteane tu
Uko sahihi, nimeshangaa Hadi huyu joka privatus karugendo katoja pangoni kwa ajili ya Bashiru Kuna kitu. Hizi tuhuka hazienezwi kwa Bashiru peke yake mbona hajatetea wale wengine? Yaleyale ya pesa za escrow Rugemalila alizogawa.!
 
Mavi yake. Anaonya kama nani. Mafias wote tunaanza Ku deal nao mmoja mmoja
 
Bashiru ajachukua pesa yoyote, pesa ya serikali tena billions of money haitoki kama imewekwa kwenye sanduku.

Watu wanamuogopa Bashiru 2025.
Acha unafiki wewe, Mimi ni CCM, watu gani wanamwogopa bashiru ndani ya CCM? Bashiru alishikwa mkono na JPM, Hana influence yoyote ndani ya CCM. Yule agombee cheo chochote ndani ya chama kwa Sasa hapati na Wala haji kuteuliwa Tena Kwenye chama huo u KM nadhani nao siku zinahesabika. JPM alishika mkono wengi sana.
 
Hilo liko wazi kuna watu wanaamini Bashiru akiendelea kuwa kwenye utawala huu mambo yao hayataenda...so wanamchafua makusudi, usafi wa Bashiru watu hawapendi
Bashiru ana usafi gani? Mtu aliyefumbia maovu yote ya jiwe kwa maslahi binafsi.haahaa
 
Kipindi cha Meko kulikuwa hakuna utaratibu wowote ule kwa taarifa yako. Simu ya Meko,Dotto au Bashiri alikuwa inatosha kutoa Trillions of money.
 
Kama wewe ni CCM, lakini ni wale waliokuwa wana faidika na Mali za CCM zilizogombolewa na Tume ya Bashiru mlizokuwa mmezikwapua na zikarudishwa chamani!
Ulichukizwa na hilo!
 
Tusubiri matokeo ya uchunguzi, naamini yatakuwa yanaonyesha ukweli

Inawezekana hajawahi kuwa mpigaji lakini amebadilika ghafla. Au kuna watu walimtegeshea aonekane amepiga

Nafasi ya katibu mkuu kiongozi ni kubwa sana. Kuna watu wanatamani hiyo nafasi au wanatamani timu jiwe isishike hiyo nafasi. Hapo sasa
 
Itakuwa ni kweli mkuu
 
Unaungana na karugendo kukemea Kama Nani?? Acheni kuteteana Kwa sababu ya makabila huko. Bashiru ni mwizi na his days are numbered. Kwanza hata pale alipowekwa kuwa Katibu Mkuu kiongozi hakustahili. Unakuwaje Katibu Mkuu Kiongozi wakati hujawai hata kuwa Katibu Mkuu kwenye Wizara??? Alipendelewa na mwizi mwenzake tu na sasa yamefikia ukingoni.
 
Naona unaandika kama role model wenu wa Twitter 😂😂😂
 
Watz wengi vichwa maji, wameshindwa muelewa Karugendo kabisa😀
 
Mdogo wako January hajambo kwenye kitabu chake ulimwandika vizuri sana..karugendo!!! (Kwakihehe nikasafari kadogo ,safari isiyo na umbali mrefu.ndina karugendo
 
Sidhani kama mama alimlenga Bushiru.
Maana kama ni kukwapuliwa hizo hela mbona ziko wazi maana hata wiki mbili hazijapita, angesema apate taarifa ya fedha kwa kipindi meko anaumwa hadi umauti.
Ila pia kama kuna hela zilitoka unadhani meko angezikwa vipi bila fedha.
Na zaidi huyo gavana anaekubali kutoa hizo fedha atakua kichaa.
Bashiru wanamuwangia bure
 
Wanataka kupenyeza vya kwao, hivyo wanakosa namna nyingine zaidi ya kuchafua tu
 
Nssf nako kusafishwe, madudu alofanya ppf halafu anapelekwa nssf kisa mpwa wa nkapa
Achomolewe mapeeeeema
 
Kama sio mwizi kwa nini alikuwa karibu na wezi?. Tafakari.
 
Umesema kweli! Wapo wengi sana ambao walishikwa mkono na JPM, na wakapewa vyeo na teuzi mbalimbali, lakini hawana influence ya maana ndani ya CCM. Hawa wote pamoja na wakimbizi walokimbia vyama vyao kuja CCM kusaka tonge, siku zao zimehesabiwa. Tutawanyofoa tokea chini kwenye CCM ngazi ya shina hadi juu ngazi ya taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…