Karugendo aonya: Acheni kumchafua Bashiru

Karugendo aonya: Acheni kumchafua Bashiru

Kuna wimbi la kutaka kumchafua Katibu Mkuu Kiongozi Dr. Bashiru.

Kimsingi hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuhusika kwa Dr.Bashiru na wizi wowote uliofanyika kama upo kweli. Nakuomba sana Mh. Rais usikurupuke kuchukua maamuzi yeyote kwa Chief Secretary bila kufanya uchunguzi wa kina maana naona propaganda zinaanza tena nchi hii.
Huyo mwizi lazima anase kwenye ndoano
 
Kuna wimbi la kutaka kumchafua Katibu Mkuu Kiongozi Dr. Bashiru likiongozwa na mtu anayejiita Kigogo 2014 huko tweeter.

Kimsingi hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuhusika kwa Dr.Bashiru na wizi wowote uliofanyika kama upo kweli. Nakuomba sana Mh. Rais usikurupuke kuchukua maamuzi yeyote kwa Chief Secretary bila kufanya uchunguzi wa kina maana naona propaganda zinaanza tena nchi hii.
Mbona unaingilia mambo yasiyo kuhusu.mama hafanyi vitu kwa mihemko kama lile bwege lenu.

Aliposema bwege lenu limedanji mlikataa hivihivi kilicho tokea mkabaki midomo wazi.

Kila mtu atavuna alicho panda.
 
Kwani alishawahi kuwa msafi? And I can bet,this few months ahead will be the end of him politically chap!
 
View attachment 1736895

Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.

Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda, hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.

Watu wapo clean na hawana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.

Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
Acheni maushahidi yakusanywe nyie akina padiri! sisi tunahitaji mama yetu atusaidie kusafisha mijizi iliyolindwa na mfumo uliopita. Mama amesema anataka ukaguzi hadi March! Mbivu mbichi zitakuwa hewani!! Bashiru ambaye amebadilika kutoka chura- Kinyonga- hadi nyoka koboko? ndiye mnatetea? Huyu siye yule mchambuzi wetu wa siasa wa UDSM huyu ni mchumia tumbo fulani aliyeandagoo metamorphosis ya ajabu sana.
 
Bashiru ajachukua pesa yoyote, pesa ya serikali tena billions of money haitoki kama imewekwa kwenye sanduku.

Watu wanamuogopa Bashiru 2025.
Mapema sana huyo asubiri 2060 labda huko tutamfikilia wananchi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bashiru ajachukua pesa yoyote, pesa ya serikali tena billions of money haitoki kama imewekwa kwenye sanduku.

Watu wanamuogopa Bashiru 2025.

Yaani umeshamuweka Mhe Bashiru mbele ya Rais wa sasa Mama Samia? Kwanini usiseme Rais Samia 2025 anabeba bendera ya chama mpaka 2030? Una nia niema kwa taifa?
 
View attachment 1736895

Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.

Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda, hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.

Watu wapo clean na hawana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.

Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
Hizo stories zinabuniwa na upinzani kupitia outlets zao kama kigogo nk. Lengo ni kuongesha Magufuli hafai, kwa hiyo by extension legacy yake haifai na wengi walioonekana watiifu kwake wanachafuliwa.

Lakini haitadumu sababu huwezi tenganisha legacy ya Magufuli na uhai wa CCM, na huwezi ukawaconvince watz kwa idadi kubwa kwamba Magufuli alifanya madudu mengi kama project yao ilivyolenga.

Kitakachotokea Mama atajibainisha bila woga kwamba anafuata misingi ya Magufuli, na hapo wapinzani watahamishia hasira zao na mikakati kwa mama.
 
ukabila tu unamsumbua hakuna kingine , yaani katika watu ambao walikuaga na akili kipindi cha nyuma ni huyu padili ambaye alishindwa uchungaji kwa kula kondoo, hata mtakataifu mzalendo mwendazake naye aliitwa majina yooote mpaka kenge lugola akamfananisha na masihi lakini sasa wateule aliokuwa anawatuma ndio wanakutwa na midola uvunguni , kitaeleweka tu
 
Sure ni ukabila na ukanda wote ni wahaya, kwanini Makatibu Wakuu Viongozi wengine hawajawahi kuwa na kashifa?
 
Hii yote inatokana na yeye mwenyewe Bashiru kushindwa kusimamia maamuzi yake baada ya uteuzi wa katibu mkuu wa CCM.
Nakumbuka kama sikosei aliwahi kusema "cheo alichoteuliwa ni kikubwa sana hawezi kukubali uteuzi mwingine wowote " na kuendelea kusisitiza kuwa "toshekeni na vyeo vyenu "
Ningelikuwa ni mimi nisingelikubali uteuzi wa KKK ili kulinda heshima yangu ndani ya chama na kuonesha namna ambvyo nilikuwa nikiwafunda wenzangu juu ya kutosheka no matter what.
 
Yani hata senti tano kwenye kurudishiana chenji jamaa hawezi kukuzima?
 
Mh Samia asicheke na nyani usoni, ikithibitika kina Bashiru na mpwa wamepiga pesa waende jela....wanakwapua fedha na ndio maana serikali inaenda kuchukua fedha za NSSF kufidia hazina ambayo haina kitu lakini serikali ikiwa na fedha NSSF watakuwa wanatoa mafao kwa wakati.
Usinikumbushe machungu.

Yani usinikumbushe machungu
 
Back
Top Bottom