Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Huyo mwizi lazima anase kwenye ndoanoKuna wimbi la kutaka kumchafua Katibu Mkuu Kiongozi Dr. Bashiru.
Kimsingi hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuhusika kwa Dr.Bashiru na wizi wowote uliofanyika kama upo kweli. Nakuomba sana Mh. Rais usikurupuke kuchukua maamuzi yeyote kwa Chief Secretary bila kufanya uchunguzi wa kina maana naona propaganda zinaanza tena nchi hii.