Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Home boy wa Bashiru. Wanaanza u-sisi na "zamu yetu".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Home boy wa Bashiru. Wanaanza u-sisi na "zamu yetu".
Uko sahihi, nimeshangaa Hadi huyu joka privatus karugendo katoja pangoni kwa ajili ya Bashiru Kuna kitu. Hizi tuhuka hazienezwi kwa Bashiru peke yake mbona hajatetea wale wengine? Yaleyale ya pesa za escrow Rugemalila alizogawa.!Karugendo na Bashiru wote ni nshomile lazima wateteane tu
Acha unafiki wewe, Mimi ni CCM, watu gani wanamwogopa bashiru ndani ya CCM? Bashiru alishikwa mkono na JPM, Hana influence yoyote ndani ya CCM. Yule agombee cheo chochote ndani ya chama kwa Sasa hapati na Wala haji kuteuliwa Tena Kwenye chama huo u KM nadhani nao siku zinahesabika. JPM alishika mkono wengi sana.Bashiru ajachukua pesa yoyote, pesa ya serikali tena billions of money haitoki kama imewekwa kwenye sanduku.
Watu wanamuogopa Bashiru 2025.
Bashiru ana usafi gani? Mtu aliyefumbia maovu yote ya jiwe kwa maslahi binafsi.haahaaHilo liko wazi kuna watu wanaamini Bashiru akiendelea kuwa kwenye utawala huu mambo yao hayataenda...so wanamchafua makusudi, usafi wa Bashiru watu hawapendi
Kipindi cha Meko kulikuwa hakuna utaratibu wowote ule kwa taarifa yako. Simu ya Meko,Dotto au Bashiri alikuwa inatosha kutoa Trillions of money.Nadhani watu wanaotoa tuhuma hizo kwa Dk. Bashiru hawajui mfumo wa hazina unavyoendeshwa linapokuja suala la kutoa fedha Benki Kuu, hivyo kama hawamtaki Bashiru wamechagua silaha isiyo sahihi ya kumshambulia. Kawaida hata Katibu Mkuu wa Hazina ni vigumu kutoa fedha Benki Kuu bila ridhaa ya Gavana na ndiyo maana ya Benki Kuu kuwa huru.
Kama wewe ni CCM, lakini ni wale waliokuwa wana faidika na Mali za CCM zilizogombolewa na Tume ya Bashiru mlizokuwa mmezikwapua na zikarudishwa chamani!Acha unafiki wewe, Mimi ni CCM, watu gani wanamwogopa bashiru ndani ya CCM? Bashiru alishikwa mkono na JPM, Hana influence yoyote ndani ya CCM. Yule agombee cheo chochote ndani ya chama kwa Sasa hapati na Wala haji kuteuliwa Tena Kwenye chama huo u KM nadhani nao siku zinahesabika. JPM alishika mkono wengi sana.
Itakuwa ni kweli mkuuAnaonewa au haonewi, muda peke yake ndiyo msema kweli:
Hizi tuhuma dhidi ya Dr. Bashiru kama zina chembe yoyote ile ya ukweli, basi lazima ashitakiwe kwa kosa la Kupanga na kuratibu Uhaini dhidi ya Jamhuri (Conspiracy to Commit Treason) na uhujumu uchumi (Economic Sabotage). Kama tuhuma hizi hazina ukweli, basi Serikali lazima itoke kukanusha, jambo ambalo mpaka sasa haijalifanya, kitu ambacho kinaendelea kuzipa hizi habari uhalali (Validity) mkubwa.
Unaungana na karugendo kukemea Kama Nani?? Acheni kuteteana Kwa sababu ya makabila huko. Bashiru ni mwizi na his days are numbered. Kwanza hata pale alipowekwa kuwa Katibu Mkuu kiongozi hakustahili. Unakuwaje Katibu Mkuu Kiongozi wakati hujawai hata kuwa Katibu Mkuu kwenye Wizara??? Alipendelewa na mwizi mwenzake tu na sasa yamefikia ukingoni.View attachment 1736895
Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.
Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda, hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.
Watu wapo clean na hawana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.
Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
Naona unaandika kama role model wenu wa Twitter 😂😂😂Unaungana na karugendo kukemea Kama Nani?? Acheni kuteteana Kwa sababu ya makabila huko. Bashiru ni mwizi na his days are numbered. Kwanza hata pale alipowekwa kuwa Katibu Mkuu kiongozi hakustahili. Unakuwaje Katibu Mkuu Kiongozi wakati hujawai hata kuwa Katibu Mkuu kwenye Wizara??? Alipendelewa na mwizi mwenzake tu na sasa yamefikia ukingoni.
Mwenye uhakika kuwa Bashiru kachukua pesa aende mahakamani, Rais kasema hazina ichunguzwe, tusubiri majibu... kama atakuwa ana tuhuma it is Okey awajibishwe, kama hajachukua basi hekima ya Rais itende vyema ....kumtuhumu mtu bila Ushahidi ni ujuha mwingine
Wanataka kupenyeza vya kwao, hivyo wanakosa namna nyingine zaidi ya kuchafua tuView attachment 1736895
Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.
Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda, hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.
Watu wapo clean na hawana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.
Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
Mh Samia asicheke na nyani usoni, ikithibitika kina Bashiru na mpwa wamepiga pesa waende jela....wanakwapua fedha na ndio maana serikali inaenda kuchukua fedha za NSSF kufidia hazina ambayo haina kitu lakini serikali ikiwa na fedha NSSF watakuwa wanatoa mafao kwa wakati.
Kama sio mwizi kwa nini alikuwa karibu na wezi?. Tafakari.View attachment 1736895
Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.
Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda, hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.
Watu wapo clean na hawana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.
Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
Acha unafiki wewe, Mimi ni CCM, watu gani wanamwogopa bashiru ndani ya CCM? Bashiru alishikwa mkono na JPM, Hana influence yoyote ndani ya CCM. Yule agombee cheo chochote ndani ya chama kwa Sasa hapati na Wala haji kuteuliwa Tena Kwenye chama huo u KM nadhani nao siku zinahesabika. JPM alishika mkono wengi sana.