Huyo mwizi lazima anase kwenye ndoanoKuna wimbi la kutaka kumchafua Katibu Mkuu Kiongozi Dr. Bashiru.
Kimsingi hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuhusika kwa Dr.Bashiru na wizi wowote uliofanyika kama upo kweli. Nakuomba sana Mh. Rais usikurupuke kuchukua maamuzi yeyote kwa Chief Secretary bila kufanya uchunguzi wa kina maana naona propaganda zinaanza tena nchi hii.
Atakuwa na undugu naye hivyo anataka amsaidie kitengoKwahiyo unataka kutuambia mwizi ni nani? Au na wewe umeamua tu kujitoa akili kama ulivyo?
Mbona unaingilia mambo yasiyo kuhusu.mama hafanyi vitu kwa mihemko kama lile bwege lenu.Kuna wimbi la kutaka kumchafua Katibu Mkuu Kiongozi Dr. Bashiru likiongozwa na mtu anayejiita Kigogo 2014 huko tweeter.
Kimsingi hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuhusika kwa Dr.Bashiru na wizi wowote uliofanyika kama upo kweli. Nakuomba sana Mh. Rais usikurupuke kuchukua maamuzi yeyote kwa Chief Secretary bila kufanya uchunguzi wa kina maana naona propaganda zinaanza tena nchi hii.
Ameiba nini?Huyo mwizi lazima anase kwenye ndoano
Ukiacha uzushi uendelee kutapakaa watu wataamini ni kweli.Tuwe na subira. Mama anasubiri ripoti ya CAG ya kuanzia January hadi March 2021...
Tuweni na subira, tuache viherehere kama wastaafu
Hamna kitu uzushi.Weka akiba ya maneno usije kuumbuka huko mbeleni.
Ila wasukuma washamba sana. Wanaiba kama wanachukua.Atakuwa na undugu naye hivyo anataka amsaidie kitengo
Acheni maushahidi yakusanywe nyie akina padiri! sisi tunahitaji mama yetu atusaidie kusafisha mijizi iliyolindwa na mfumo uliopita. Mama amesema anataka ukaguzi hadi March! Mbivu mbichi zitakuwa hewani!! Bashiru ambaye amebadilika kutoka chura- Kinyonga- hadi nyoka koboko? ndiye mnatetea? Huyu siye yule mchambuzi wetu wa siasa wa UDSM huyu ni mchumia tumbo fulani aliyeandagoo metamorphosis ya ajabu sana.View attachment 1736895
Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.
Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda, hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.
Watu wapo clean na hawana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.
Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
Noma Sana.gogoki balaa!!!Kigogo kasemaje kuhusu hilo la Karugendo?
Ni kukwapua mkuu siyo kuibaIla wasukuma washamba sana. Wanaiba kama wanachukua.
Mapema sana huyo asubiri 2060 labda huko tutamfikilia wananchi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bashiru ajachukua pesa yoyote, pesa ya serikali tena billions of money haitoki kama imewekwa kwenye sanduku.
Watu wanamuogopa Bashiru 2025.
We mjane wa meko unasemaje?Wake wa kigogo bhana
Bashiru ajachukua pesa yoyote, pesa ya serikali tena billions of money haitoki kama imewekwa kwenye sanduku.
Watu wanamuogopa Bashiru 2025.
Hizo stories zinabuniwa na upinzani kupitia outlets zao kama kigogo nk. Lengo ni kuongesha Magufuli hafai, kwa hiyo by extension legacy yake haifai na wengi walioonekana watiifu kwake wanachafuliwa.View attachment 1736895
Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.
Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda, hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.
Watu wapo clean na hawana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.
Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
Sure ni ukabila na ukanda wote ni wahaya, kwanini Makatibu Wakuu Viongozi wengine hawajawahi kuwa na kashifa?ukabila tu unamsumbua hakuna kingine , yaani katika watu ambao walikuaga na akili kipindi cha nyuma ni huyu padili ambaye alishindwa uchungaji kwa kula kondoo, hata mtakataifu mzalendo mwendazake naye aliitwa majina yooote mpaka kenge lugola akamfananisha na masihi lakini sasa wateule aliokuwa anawatuma ndio wanakutwa na midola uvunguni , kitaeleweka tu
Usinikumbushe machungu.Mh Samia asicheke na nyani usoni, ikithibitika kina Bashiru na mpwa wamepiga pesa waende jela....wanakwapua fedha na ndio maana serikali inaenda kuchukua fedha za NSSF kufidia hazina ambayo haina kitu lakini serikali ikiwa na fedha NSSF watakuwa wanatoa mafao kwa wakati.