Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani watu wanaotoa tuhuma hizo kwa Dk. Bashiru hawajui mfumo wa hazina unavyoendeshwa linapokuja suala la kutoa fedha Benki Kuu, hivyo kama hawamtaki Bashiru wamechagua silaha isiyo sahihi ya kumshambulia. Kawaida hata Katibu Mkuu wa Hazina ni vigumu kutoa fedha Benki Kuu bila ridhaa ya Gavana na ndiyo maana ya Benki Kuu kuwa huru.View attachment 1736895
Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.
Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.
Watu wapo clean na awana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.
Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
But amesema fedha za miradi.....siyo matukizi mengine mfano matumizi ya kwenda kununua vifaa.....kwa hiyo nadhani hapo hata kama fedha ilitoka lakin ilikuwa siyo mradi means hakuna lolote.Mama amedai matumizi ya serikali,January to March,2021. Kama mko safi, kwa nini mnakanyagana... Lissu alinyimwa fedha matibabu kwa sababu hakufuata utaratibu... Mama naye anadai utaratibu....hatutaki kuona malipo ya "masangoma"
Padre Karugendo huyu mtu unamtetea kwa sababu anatoka mkoa unaotoka. Usafi wa Bashiru anaujua yeye. Lakini uchafu anao kama hana subiri ukaguzi wa BoT uone.View attachment 1736895
Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.
Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.
Watu wapo clean na awana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.
Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
Hajachafuliwa kajichafuaView attachment 1736895
Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.
Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.
Watu wapo clean na awana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.
Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
Kipindi kile akina Kinana kurekodiwa haikuwa fitna ile? Au yakija kwa upande wa akina Bashiru ndo inakuwa fitna? Wacha watu waongee, uchafu wao uwekwe hadharani pia.siasa za fitna hazinaga maisha marefu.
Kabisa chama kimerudi mkononi hata watu wanaodai mafao yao watalipwa sasa ili wafanye uwekezajiSisi sio chadema bali ccm asili.chama kinarudi nyumbani brother.hivi haoa tuko wapi vile aa chatoo
Wewe ndo hamnazo kabisa, unaambiwa akina Doto waliratibu hujuma hizo kupitia TPA. Dokezo likaanzia TPA kuomba hela kama za operations, hela ikatoka na wakaichannel hadi bandari ya Tanganyika ili kutoa kirahisi. Hela ilitolewa na kurudi mikononi mwa akina Doto/Bashiru. Mama Samia siyo mjinga kuamuru uchunguzi wa haraka TPA.Nazani watu wanaotoa tuhuma hizo kwa Dk Bashiru hawajui mfumo wa hazina unavyoendeshwa linapokuja suala la kutoa fedha Benki Kuu, hivyo kama hawamtaki Bashiru wamechagua silaha isiyo sahihi ya kumshambulia. Kawaida hata Katibu Mkuu wa Hazina ni vigumu kutoa fedha Benki Kuu bila ridhaa ya Gavana na ndiyo maana ya Benki Kuu kuwa huru.
Maskini huyu padri mzinzi aliyefukuzwa. Hajui asemalo. Unaweza kweli kumuapia mwanadamu? Kwani yeye anajua siri za Bashiru kama mkewe? Ujamaa kitu gani wakati yeye anaendelea kujiita padri wakati alishatimliwa kwa uzinzi? Njaa mbaya. Nadhani anajigonga kwa mhaya mwenzie ili amsaidie katika ugumu wa maisha anaopambana nao.View attachment 1736895
Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.
Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.
Watu wapo clean na awana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.
Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
Kama yeye Karugendo anashirikiana na wezi na mafisadi no kwa upande wake yeye sisi asituambie huo upuuzi
Ah. Mwalimu Karugendo. I have no commentView attachment 1736895
Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.
Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.
Watu wapo clean na awana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.
Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
Leteni evidence kama ameiba. Binafsi nachukia sana wezi wa mali ya umma. Ila tusianze kuchafuana sababu ya kuwezesha interest ya makundi yetu ya siasaKama yeye Karugendo anashirikiana na wezi na mafisadi no kwa upande wake yeye sisi asituambie huo upuuzi
Kwahiyo wahaya nanyi mnawaza kutoa Rais duhHizo ni propoganda za kumharibia 2025
BoT apewe Prof Assad, atatusaidia sana pale, CCM mchwa ni wengi.Nafasi ya Gavana BOT nayo tayari inawinda safari hii tumpe mzenji mwenzetu ama niwa dini yetu.
Rais amesema Gavana nae atoe ushirikianoNazani watu wanaotoa tuhuma hizo kwa Dk Bashiru hawajui mfumo wa hazina unavyoendeshwa linapokuja suala la kutoa fedha Benki Kuu, hivyo kama hawamtaki Bashiru wamechagua silaha isiyo sahihi ya kumshambulia. Kawaida hata Katibu Mkuu wa Hazina ni vigumu kutoa fedha Benki Kuu bila ridhaa ya Gavana na ndiyo maana ya Benki Kuu kuwa huru.
JiongezeBut amesema fedha za miradi.....siyo matukizi mengine mfano matumizi ya kwenda kununua vifaa.....kwa hiyo nadhani hapo hata kama fedha ilitoka lakin ilikuwa siyo mradi means hakuna lolote.