Karugendo aonya: Acheni kumchafua Bashiru

View attachment 1736895

Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.

Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.

Watu wapo clean na awana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.

Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
Nadhani watu wanaotoa tuhuma hizo kwa Dk. Bashiru hawajui mfumo wa hazina unavyoendeshwa linapokuja suala la kutoa fedha Benki Kuu, hivyo kama hawamtaki Bashiru wamechagua silaha isiyo sahihi ya kumshambulia. Kawaida hata Katibu Mkuu wa Hazina ni vigumu kutoa fedha Benki Kuu bila ridhaa ya Gavana na ndiyo maana ya Benki Kuu kuwa huru.
 
Mama amedai matumizi ya serikali,January to March,2021. Kama mko safi, kwa nini mnakanyagana... Lissu alinyimwa fedha matibabu kwa sababu hakufuata utaratibu... Mama naye anadai utaratibu....hatutaki kuona malipo ya "masangoma"
But amesema fedha za miradi.....siyo matukizi mengine mfano matumizi ya kwenda kununua vifaa.....kwa hiyo nadhani hapo hata kama fedha ilitoka lakin ilikuwa siyo mradi means hakuna lolote.
 
View attachment 1736895

Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.

Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.

Watu wapo clean na awana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.

Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
Padre Karugendo huyu mtu unamtetea kwa sababu anatoka mkoa unaotoka. Usafi wa Bashiru anaujua yeye. Lakini uchafu anao kama hana subiri ukaguzi wa BoT uone.
 
View attachment 1736895

Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.

Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.

Watu wapo clean na awana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.

Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
Hajachafuliwa kajichafua

Mzee Karugendo usimtetee mtu ambaye alikuwa kwenye uongozi wenye jeuri na kukigawa cha chetu kwa maslahi yao binafsi.

Yy mwache aishi maisha aliyoyasisi ndo ajifunze kujua jeuri ya mamlaka sio nzuri kwa mtu wa umri wake.
Naamini wakati anaishi hayo maisha hakuangalia umri wake ili ayatende yanayoendana na umri wake.

Ninachokijua malipo ni hapa hapa dunia
 
Sisi sio chadema bali ccm asili.chama kinarudi nyumbani brother.hivi haoa tuko wapi vile aa chatoo
Kabisa chama kimerudi mkononi hata watu wanaodai mafao yao watalipwa sasa ili wafanye uwekezaji
 
Nazani watu wanaotoa tuhuma hizo kwa Dk Bashiru hawajui mfumo wa hazina unavyoendeshwa linapokuja suala la kutoa fedha Benki Kuu, hivyo kama hawamtaki Bashiru wamechagua silaha isiyo sahihi ya kumshambulia. Kawaida hata Katibu Mkuu wa Hazina ni vigumu kutoa fedha Benki Kuu bila ridhaa ya Gavana na ndiyo maana ya Benki Kuu kuwa huru.
Wewe ndo hamnazo kabisa, unaambiwa akina Doto waliratibu hujuma hizo kupitia TPA. Dokezo likaanzia TPA kuomba hela kama za operations, hela ikatoka na wakaichannel hadi bandari ya Tanganyika ili kutoa kirahisi. Hela ilitolewa na kurudi mikononi mwa akina Doto/Bashiru. Mama Samia siyo mjinga kuamuru uchunguzi wa haraka TPA.
 
View attachment 1736895

Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.

Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.

Watu wapo clean na awana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.

Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
Maskini huyu padri mzinzi aliyefukuzwa. Hajui asemalo. Unaweza kweli kumuapia mwanadamu? Kwani yeye anajua siri za Bashiru kama mkewe? Ujamaa kitu gani wakati yeye anaendelea kujiita padri wakati alishatimliwa kwa uzinzi? Njaa mbaya. Nadhani anajigonga kwa mhaya mwenzie ili amsaidie katika ugumu wa maisha anaopambana nao.
 
View attachment 1736895

Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.

Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.

Watu wapo clean na awana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.

Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
Ah. Mwalimu Karugendo. I have no comment
 
chama hamuwezi kugawana na haitatokea. Awamu hii pumba na mchele haviwezi kuishi pamoja na lazima vijitenge.
 
Kama yeye Karugendo anashirikiana na wezi na mafisadi no kwa upande wake yeye sisi asituambie huo upuuzi
Leteni evidence kama ameiba. Binafsi nachukia sana wezi wa mali ya umma. Ila tusianze kuchafuana sababu ya kuwezesha interest ya makundi yetu ya siasa
 
Huu ujinga wa kuteteana kisa ukabila unashamiri sana, Karugendo anafanya haya yote kisa Bashiru ni mhaya mwenzake terrible!!!
 
Nazani watu wanaotoa tuhuma hizo kwa Dk Bashiru hawajui mfumo wa hazina unavyoendeshwa linapokuja suala la kutoa fedha Benki Kuu, hivyo kama hawamtaki Bashiru wamechagua silaha isiyo sahihi ya kumshambulia. Kawaida hata Katibu Mkuu wa Hazina ni vigumu kutoa fedha Benki Kuu bila ridhaa ya Gavana na ndiyo maana ya Benki Kuu kuwa huru.
Rais amesema Gavana nae atoe ushirikiano

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Huyu Karugendo ni nani? Kama amesaliti kiapo cha upadri hawezi kuaminika tena kwa jamii...... yeye akae kwa kutulia ili mbivu na mbichi zijulikane na ndiyo utaona umuhimu wa Mh. Rais kuondoa hizi toxic materials kwenye system mapema iwezekanavyo...
 
Back
Top Bottom