'Karume Hakuyakimbia Mapinduzi ya ZnZ'- Karume Jnr

'Karume Hakuyakimbia Mapinduzi ya ZnZ'- Karume Jnr

Napenda kurudia tena kwamba kuundwa kwa serikali ya mseto hakumaanishi kufutwa kwa SMZ. SMZ itaendelea kuwepo ila katika mtazamo wa umoja zaidi. Uhuru wa mwaka 63 ulikuwa ni kwa faida ya wachache na ndio maana haukudumu. Na inapotokea kundi ama mtu kudai kuwa uhuru ule ulikuwa kwa manufaa ya wengi basi huyo atakuwa na walakini.

Makovu ya mapinduzi yale yalianzwa kufutwa tokea awamu ya tano. Nafikiri wengi mnakumbuka kauli ya Komandoo Salmin alipotoa ruhusa kwa sultan kulejea visiwani humo. Aidha royal family ya sultan imekuwa ikirudi zanzibar kwa muda mrefu sasa. Nimekutana nao na wala hawana tatizo na mapinduzi kwani ukweli wa dhuluma yao dhidi ya wengi wanaujua fika.
 
Kuna umuhimu gani wa kuendelea kupromote MAPINDUZI?Au wewe unataka kutuambia mapinduzi ni kitu chema, na Zanzibar tuendelee na sera ya MAPINDUZI daima?

Mie naona ni jambo la busara kupromote umoja kwa kubadili jina, na kuachana na neno hili MAPINDUZI.Kwangu neno mapinduzi ni kama ukoma, yawe yalileta faida au hayakuleta faida....sikubaliani na Mapinduzi!!

Mapinduzi ya aina yoyote yawe ya Zanzibar au Makka, basi yanaambatana na uvunjwaji wa haki za binadaamu.Si jambo la busara, kwa Tanzania kuwa inajinata kuwa ni nchi ya amani na utulivu.Wakati huo huo vyama vyake au serekali zake ni za Mapinduzi!!
 
..serikali ya Mapinduzi inaweza kufutwa, lakini Mapinduzi yale ni lazima yaendelee kutambuliwa na kupewa heshima na uzito unaostahili.

..uhuru wa 1963 haukuwa wa waliowengi. chaguzi zilikuwa zinafanyika kiujanja-ujanja, na serikali iliundwa kwa hila ya kuwabagua WAAFRIKA na ASP.
 
Huu ni upotoshaji wa historia, ASP walishiriki uchaguzi wakashindwa.Na wakakubali matokeo, waliofanya mapinduzi ni watu wengine kabisa.Sifikirii kama kuna direct link baina ya uchaguzi na mapinduzi.Direct link kwa maana Mapinduzi hayakuwa ni matokeo au maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi.Ni kitu kilichofanywa au kupangwa na gurupu la watu.Kama Mapinduzi yangelikuwa yanapinga matokeo ya uchaguzi, basi yangelifanyika immediately after the election results...NOT A MONTH LATER!

Kama unayo evidence ya kuwa ASP walikuwa wanashinda, lakini muingereza akawa anapindisha demokrasia tuletee hapa tuone au tusikie.

Ukitizama hao makomandoo wa mapinduzi, si wafuasi wa ASP kabisa.Ni wahamiaji kutoka bara, uganda na Kenya.Sisemi kama walikuwa bado ni raia wa nchi zao, au walibadili uraia na kuchukua uraia wa Zanzibar maana hilo sina ushahidi lakini, but its possible they were not even Zanzibar citizen.Lakini nina uhakika walikuwa si wazanzibari halisia (kwa maana ya kuzaliwa visiwani).

Hapa wako watu watasema huu ni ubaguzi, na iwe hivyo hivyo mimi ni mbaguzi.Lakini nchi zote kuna wazawa, ambao wamezaliwa pamoja na family tree zao zinatokea hapo visiwani.Kuna wahamiaji, ambao wakikaa muda mrefu huchukua uraia wa nchi hizo.Hili suala la kawaida kabisa, liko katika nchi zote.Raia ana haki sawa na mzaliwa, lakini kuna uwezekano pia wa kuwa mhamiaji akawa anaishi bila ya kuchukua uraia wa nchi hiyo.

Karume mwenyewe (ambae si mzaliwa wa Zanzibar,inaweza kuwa alikulia Zanzibar na kuwa raia wa Zanzibar) alikimbia mapinduzi...sasa ni kwanini unatuletea hoja ya kuyapa heshima haya mapinduzi yaliyofanywa na gurupu la wahuni kutoka Tanganyika, Uganda na Kenya?
 
..uhuru wa 1963 haukuwa wa waliowengi.
Hata mapinduzi hayakuwa ya wengi, kama si Tanganyika kuingilia kati basi Karume wala Okello wasingeliweza kukaa madarakani.

Sababu moja ya msingi kwa nini Karume alifanya muungano na Tanganyika, ni kuwa hana majarity support huko visiwani.

Au unatoa maelezo gani juu ya Karume kukimbilia kwa Nyerere kuomba msaada ili aweze kukaa madarakani?Hii theory ni hadi leo CCM Zanzibar wanaitumia, kama si Tanganyika CCM Zanzibar inaondoka immediately.
 
Kuna umuhimu gani wa kuendelea kupromote MAPINDUZI?Au wewe unataka kutuambia mapinduzi ni kitu chema, na Zanzibar tuendelee na sera ya MAPINDUZI daima?

Mapinduzi yanakuwa mema pale yanapowakomboa wananchi walio wengi na kuwatoa katika unyanyasaji ndani ya nchi yao. Marekani hadi leo wanayatambua na kuyaheshimu mapinduzi yaliyowatoa katika himaya ya Waingereza. Lakini mapinduzi ya Rhodesia hayakutambuliwa kwani wananchi walio wengi wa nchi hiyo waliendelea kunyanyaswa na kubaguliwa ndani ya nchi yao.

Mie naona ni jambo la busara kupromote umoja kwa kubadili jina, na kuachana na neno hili MAPINDUZI.Kwangu neno mapinduzi ni kama ukoma, yawe yalileta faida au hayakuleta faida....sikubaliani na Mapinduzi!!

Kama yalileta faida kama unavyosema, ubaya uko wapi. Laiti ungeishi chini utawala wa kisultani nina hakika ungetambua umuhimu wa mapinduzi ya 1964. Usultani ulikuwa ni aina ya ukoloni kwani uchaguzi wa 1963 ulizidi tu kuviweka visiwa vya Unguja na Pemba mikononi mwa Oman - Waingereza watoke, Waomani waingie.

Mapinduzi ya aina yoyote yawe ya Zanzibar au Makka, basi yanaambatana na uvunjwaji wa haki za binadaamu.Si jambo la busara, kwa Tanzania kuwa inajinata kuwa ni nchi ya amani na utulivu.Wakati huo huo vyama vyake au serekali zake ni za Mapinduzi!!

Mkuu Froasty, ili ule kivulini lazima uhangaike juani- hata hivyo ni wachache sana wanaojua sababu hasa ya Karume kukubali Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kwanza Karume peke yake hakuwa na ubavu wa kumwondoa Okelo sana sana yeye Karume angetoswa kama nguo kuu kuu. Pili, huko Omani bado walikuwa na usongo mkubwa sana wa kulipiza kisasi na kumrudisha Sultani madarakani. Muungano uliweza kumhakikishia Karume ulinzi na usalama kutoka Tanganyika na aliutumia muda huo vyema kuwatokomeza wapinzani wake. Huwa nawashangaa ndugu zetu Wazanzibari wanapowabeza Watanganyika huku wakisahau kuwa bila Nyerere, Okelo angeweza kuitawala Zanzibar kwa muda mrefu tu.
 
Froasty,

..sheria za uchaguzi ziliweka na Muingereza kuvipendelea vyama ambavyo vilikuwa pro-sultan.

..ASP walikuwa wanashinda kwa wingi wa kura lakini wanazuiliwa kuunda serikali kutokana na sheria kwamba serikali itaundwa kwa wingi wa viti vya majimbo.

..tatizo lingine ni vyama ambavyo ni pro-sultan vikawa vinawatenga ASP ktk kuunda serikali.

..kama unao muda nakuomba utafute matokeo ya chaguzi zote zilizofanyika Zenj. ukiyapata naomba uyalete hapa. katika matokeo hayo naomba uangalie kwa makini kabisa idadi ya kura, idadi ya viti, na vyama vipi viliunda serikali.

..mjadala wa uraia na uanachama wa wa waliopanga Mapinduzi sidhani kama utakuwa wa msaada mkubwa hapa. nadhani kitu cha msingi cha kutambua ni ile heshima ambao chama cha ASP kilipewa baada ya Mapinduzi yale.

..it doesnt matter kama ASP walipanga mapinduzi yale au la. kitu cha msingi ni kwamba wanamapinduzi wale walijinasabisha zaidi na ASP kuliko chama kingine chochote kile. pia chama cha ASP hakukuyapinga mapinduzi yale.

..mwisho, ktk majadiliano ya kuundwa kwa katiba ya Zenj, ASP walipinga kwa nguvu zote kifungo cha kumtambua Sultani kuwa mtawala wa Zenj.
 
Mapinduzi yanakuwa mema pale yanapowakomboa wananchi walio wengi na kuwatoa katika unyanyasaji ndani ya nchi yao.
Naona unajizonga mwenyewe kwa mwenyewe, sasa wananchi walio wengi ni wepi?Au sote si wazanzibari tumekuwa watu wa Omani?Wazanzibari ndio walio wengi ndani ya visiwa hivyo, na hatujafaidika na chochote.Sina uhakika na maisha wakati huo wa ukoloni, lakini Zanzibar iko kwenye down fall in terms of economy from the day of the revolution I guess. This is according to me ofcoz.

Kwanza Karume peke yake hakuwa na ubavu wa kumwondoa Okelo sana sana yeye Karume angetoswa kama nguo kuu kuu.
Wakati unamtetea alikuwa na majority visiwani humo, hawezi kukosa support ya kumuondoa Okello.

Ukiwa na majority huna haja ya kukimbilia Tanganyika, wananchi wote watakuunga mkono.Au nasema uwongo juu ya hili?

Pili, huko Omani bado walikuwa na usongo mkubwa sana wa kulipiza kisasi na kumrudisha Sultani madarakani.

Sina evidence yoyote ya kusupport theory hii, labda wazanzibari walikuwa na usongo wa kumuondoa Karume.

Huwa nawashangaa ndugu zetu Wazanzibari wanapowabeza Watanganyika huku wakisahau kuwa bila Nyerere, Okelo angeweza kuitawala Zanzibar kwa muda mrefu tu.

Nyerere is a high profile suspect of those who were behind the 1964 Revolution.

Sasa hapo usitaraji shukurani yoyote kutoka kwangu kama mzanzibari, the matter of fact nafurahia kila hao vizee vilivyoshiriki kwenye kuikandamiza Zanzibar vikifariki mie nafurahia na kupiga bonge la party.

Hivi mwaka huu kapungua Kawawa, sasa nasubiria P.Msekwa...
 
"Hivi mwaka huu kapungua Kawawa, sasa nasubiria P.Msekwa..."

Angalie usije ukafa kabla ya hao unao waombea kifo. Kazi ya Mungu...
 
"Hivi mwaka huu kapungua Kawawa, sasa nasubiria P.Msekwa..."

Angalie usije ukafa kabla ya hao unao waombea kifo. Kazi ya Mungu...

Kifo kipo hakiwezi kuepukwa...ni mambo ya kawaida tuu hayo.Sema kwa maslahi ya Zanzibar ya kujinasua na makucha ya Butiama, basi wakifa watu kama hawa ni vizuri zaidi.

Ni sawa na vita, akifa adui mmoja ushindi unakaribia kwa design fulani.🙄
 
Ukweli ndio huu:

  • January 12, 1964 - John Okelo aliongoza mapinduzi ya kwanza kumwondoa Sultani wa Zanzibar na Pemba, Jamshid bin Abdullah - haya mapinduzi yalifuatiwa na umwagaji mkubwa wa damu.
  • Wakati wa mapinduzi waliokuwa viongozi wa vyama vikuu viwili, ASP na UPP walikuwa wanaishi Tanganyika ambako walijificha na ni Okelo aliyewapokea waliporudi Zanzibar baada ya mapinduzi kufanikiwa.
  • Baada ya mapinduzi Okelo aliunda Baraza la Mapinduzi na yeye kama Mwenyekiti wa kwanza alimteua kiongozi wa ASP, Abeid Karume kuwa Raisi wa Zanzibar na kiongozi wa UPP, Sheikh Abdulrahman Muhammad Babu kuwa Waziri Mkuu.
  • Karume kwa msaada wa Tanganyika aliongoza mapinduzi ya pili kumwondoa Field Marshall wa Zanzibar na Pemba na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi, John Okelo - haya mapinduzi baridi yalipangwa Dar es Salaam.
Karume, asijaribu kupindisha historia - bado wengine tupo.

kweli kabisa john okello aliandika kitabu na kinaelezea kila kitu
 
labda wazanzibari walikuwa na usongo wa kumuondoa Karume.
Nyerere is a high profile suspect of those who were behind the 1964 Revolution.
nafurahia kila hao vizee vilivyoshiriki kwenye kuikandamiza Zanzibar vikifariki mie nafurahia na kupiga bonge la party.
Hivi mwaka huu kapungua Kawawa, sasa nasubiria P.Msekwa...
Mr. Froasty, nilipokusoma mwanzo mwanzo, nilidhani wewe ni mmoja kati ya wengi wenye usongo wa kutaka demokrasia ya kweli visiwani Zanzibar,
Lakini nilipokusoma kwenye hili la kufurahia mauaji ya Karume, kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, Kifo cha Simba wa Vita, Mzee wetu, Rashidi Mfaume Kawawa, eti unashangilia na kufanya bonge la pati!...
Eti sasa unamchuria Mswekwa?
Kama ulusema Karume aliyakimbia yale Mapinduzi matukufu ya Januari 64, what has he to do na Mapinduzi hayo?, Sasa umemwingiza Nyerere, Kawawa na Mmsekwa?
Are you ok upstairs?. Kweli kichaa sio lazima aokote makopo!.
Niliwahi sikia Zanzibar kuna magaidi, kuna vijana wako tayari kuwa suicide bombers!. Kuna vijana wanatamani wangekuwa wao ndio Osama Bin Laden!
Nimekusoma MrFroasty, sasa nimekubali haya!.
Asatghafulahi Mungu apishilie mbali..afadhali Karume na Maalim wameyamaliza, vinginevyo October Zanzibar ingegeuka Tora Bora!...
Insha Alah...sasa salama!.
 
Ulitaka kusikia nini kutoka kwangu, kwamba Mwalimu aenziwe na wazanzibari?Badala ya wazee wetu walivyokwisha tolewa roho na bado hivo vizee vimefariki lakini majinamizi yao JWTZ yanaendelea kufanya kila aina ya uvunjwaji wa haki za binadaamu huko.

Nyerere, Kawawa, Msekwa,Karume hawa wamesimama au walisimama mstari wa mbele kuliuwa taifa la Zanzibar.Na kwa ufupi siwezi kuwa na mapenzi nao....hilo la Tora Bora liko njiani linakuja!

Osama bin Laden kwangu ni Sheikh na Ulamaa, anakubalika kabisa kwangu...sijuwi waislamu wengine.Huyu ni mmoja wa maulamaa waliosimama kidete kupigania haki za waislamu na wanyonge duniani.Bila ya shaka Tanganyika ikiendeleza ukandamizaji wake, waislamu wa Zanzibar na duniani wana haki ya kupigania nchi yao.

Namuomba Allah ampatie maisha marefu, na vita vyake dhidi ya ukandamizaji wa waislamu pindipo akifariki virithiwe na waislamu wengine.Amen.
 
Amen na Asante. Nimekubali ni kweli nilichoamini.
Nadhani hapa tulipofika panatosha naomba tumefika mahali lazima tukubaliane, hata kama ni kukubaliana kutokubaliana, ni makubaliano murua, kwa hili la ToraBora, sikubaliani na wewe asilan lakini nakukubali hivyo hivyo unavyoamua wewe.
Hapa sasa panatosha.
Mod funga hii thread sasa imetosha kama watu sasa wanaweka mpaka ahadi za kuitorabora Zanzibar kwa mtindo ule ule wa Osama!.

Wakitorabora kweli, JF itatumika kama 'accsesory before the fact' or 'after the fact'. Namhurumia Invisible atajakuwa held liable, siye wengine ni pen names tuu, watatushikia wapi?.

Mode, funga hii tthread funga, wasije Kukitorabora mpaka hiki kijiwe chetu cha JF!.
 
Actually smart people can not complain when average people and decent people like Zanzibaris turn to Evil, IN FACT THEY EXPECT IT!.

Quote from Nyerere "Tutamuomba muingereza atupatie uhuru wetu, na kama hatusikii tutamuomba shetani!".

Same will happen to Zanzibar, if Tanganyika under CCM do not want to allow people to make their decisions for their own country....then they should take responsibility when people turn their beliefs to evil.

Have fun...thats pure me ofcoz...😀

P:S
**Quote ya Nyerere is not exactly the way it is, but I think it sounds like that in one of his speeches.
 
Amen na Asante. Nimekubali ni kweli nilichoamini.
Nadhani hapa tulipofika panatosha naomba tumefika mahali lazima tukubaliane, hata kama ni kukubaliana kutokubaliana, ni makubaliano murua, kwa hili la ToraBora, sikubaliani na wewe asilan lakini nakukubali hivyo hivyo unavyoamua wewe.
Hapa sasa panatosha.
Mod funga hii thread sasa imetosha kama watu sasa wanaweka mpaka ahadi za kuitorabora Zanzibar kwa mtindo ule ule wa Osama!.

Wakitorabora kweli, JF itatumika kama 'accsesory before the fact' or 'after the fact'. Namhurumia Invisible atajakuwa held liable, siye wengine ni pen names tuu, watatushikia wapi?.

Mode, funga hii tthread funga, wasije Kukitorabora mpaka hiki kijiwe chetu cha JF!.
Naunga mkono kufungwa kwa thread hii!
 
Naunga mkono kufungwa kwa thread hii!

Mode, nadhani hii ilipofikia panatosha, vijana wa Bin Laden, wanapandisha mori, wasije ihamishia Zanzibar Kandahar na Torabora. Ifunge mapema ili tuipandishe thread ya Pongezi kwa Karume, kusheherekea Miaka 46 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Januari 64, yaliyoung'oa utawala Dhalimu wa Sultan na vibaraka wao, na kuleta ukombozi wa kweli wa Mzanzibari.
 
Naunga mkono kufungwa kwa thread hii!

Moderator kisha lala. Subirini asubuhi.

Hivi Pasco ulipoileta hii thread ulifikiri itaishia wapi. Mambo yote yanayohusu ZNZ au dini huwa yanatupeleka kubaya kila siku.
 
Moderator kisha lala. Subirini asubuhi.

Hivi Pasco ulipoileta hii thread ulifikiri itaishia wapi. Mambo yote yanayohusu ZNZ au dini huwa yanatupeleka kubaya kila siku.

Mr. Zero, nilitegemea Wanzanzibari wenye data za uhakika zaidi kuhusu Karume na Mapinduzi, wangekuja. Bahati mbaya issues za Zanzibar huwa wenzetu wanakuwa tuu emotional, ila sikutegemea wafuasi wa Osama, magaidi in the name of politics, ma extremits wa kiwango cha kushangilia ugaidi!.

TISS ingekuwa hata robo ya CIA na FBI, mbona Invicible angekuwa tajiri, maana jamaa wangeitumia JF kutrack down magaidi kabla hata hawajamature into suicide bombers. Idara yetu ndio hivyo tena, ndio maana nikamshauri mode aifungilie mbali hii thread isije tuponza bure!.
 
Back
Top Bottom