Wanajamvi
Habari za mihangaiko na poleni.
Moja kwa moja kwenye mada. Sanaa ya muziki ina nguvu kubwa sana, inapenya mioyoni na inaathiri hisia moja kwa moja.
Kwa kulitambua hili, nawaalika wenye uwezo wa kutunga mashairi yenye maudhui ya kuboresha stahiki za wafanyakazi kuelekea mei mosi hii wafanye ivyo, kwa "heshima na staha".
Huyu kaanza hivi:-
Jina la wimbo: ka-salari
Verse 1
" Mola mbariki mwajiri, mjaze afya njema hekima na akili
Ajue tupo wafanyakazi wazalendo kweli, tusopenda udookozi
Mei mosi, hii basi, (tuongezee kasalari, hakatutoshi wafanyakazi, bila ya mangi kutukopa hatuli)×2
Verse 2
"Matumizi yangu yote ni ukopaji, hakajatoka ila kameisha kasalari
Kodi ya nyumba ,watoto ada, makato kata, jamii(kata), songesha(kata), benki(kata) kutuma, kupokea(kata)
(Hakatutoshi kasalari, bila ya mangi nyumbani mimi sili, mwajiri, boresha salari, mwajiri, ongeza salari)×2
Viambatanisho: nyimbo- audio (kasalari)
Video- ()
Nawewe mwanamuziki mwingine tumia silaha yako kufikisha ujumbe sasa.