Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Kamtengeneza aishiNdio amefanyaje
Mbona unaandika andika ueleweki mzee
Mbona unaandika andika ueleweki mzee
Sasa haoni kama misumari ikizidi aishi mtamkosa hata kule unyamani?Kwa kaseja wacha akae, kaseja bado ni golikipa bora hapa nchini kwetu.
Hawezi elewa huyoMambo ya Kilingeni tunaelewa wana Kilinge
Mtu kinashapigwa Sindano za kienyeji
Mambo ya ndele mkuu..si rahis kuelewekaMbona unaandika andika ueleweki mzee
hamna lolote hapoKamtengeneza aishi
Tutafika mkuu...kikubwa mpira unachezwa uwanjani , maneno hayafungi wala kukaba magoliAisee kwa uchambuzi huu tutafika kweli?
Hawa si wako timu moja ?Manula alikuwa ampiga misumari Kakolanya, this time kakutana mbabe wake.