Kaseja kashafanya yake kuelekea mchezo wa Tanzania dhidi ya Kenya

Kaseja kashafanya yake kuelekea mchezo wa Tanzania dhidi ya Kenya

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
Kuelekea mchezo wa leo ambao tanzania itakipiga na kenya golikipa namba moja wa stars aishi manula karipotiwa kua majeruhi..

Kuna uzi wa mdau mmoja alileta kuwa kessy anampiga misumari kapombe, sasa leo hii mtoto wa kigoma juma kaseja kashafanya yake pia kwa aishi[emoji16][emoji16][emoji23]..kuna uwezekano mkubwa juma k juma akawa golikipa atakae iongoza tanzania kukipiga na kenya leo hii....

Kigoma hoyeeeee
IMG-20190728-WA0014.jpeg
 
Kwaiyo kamkoga mtz mwenzie kasaau kuloga timu pinzani alafu anakunywa goli nne bila tunatulia kimya safi uchawi huu kwel auvuki mpaka
 
Let us assume kwamba hayo unayoyasema ni kweli.Kwanini Kaseja sio golikipa namba moja KMC?Golikipa namba moja ni mrundi Ntimana. Golikipa wa timu ya Taifa ya Burundi.Aron Kalambo wa Prisons ndio chaguo sahihi kwa Stars..Safari yetu bado sana.Nimesikia tetesi kwamba mlinzi Phil Jones wa Manchester United anamloga mlinzi mwenzake Eric Bailly.Ndio sababu anaumia kila mara.Bado nachunguza nani kamloga Mwantika kwani nae ni majeruhi.Ujahili kazi kweli kweli.
 
Manula alikuwa ampiga misumari Kakolanya, this time kakutana mbabe wake.
 
Back
Top Bottom