Kaseja,Nyoni,na Elasto siku wakiistaafu wapigiwe mizinga 20 ya heshima.

Kaseja,Nyoni,na Elasto siku wakiistaafu wapigiwe mizinga 20 ya heshima.

Dah wabongo bana!

Sasa kwa kipi walichokifanya sasa kweny soka mkuu?

Sasa siku Ronaldo na Messi wamestaafu mpira dunia si italipuka kwa mizinga ya Nyuklia kabsa!
 
Hawa wacheza watatu wanastaili heshima ya kipekee kwa taifa letu. Kwanza wamecheza kwa kiwango cha juu kwa muda mrefu takribani miaka 15 wakiwa katika ubora ule ule. Lakini cha msingi zaidi ni mchango wao katika timu ya taifa. Hawa wachezaji watabaki kuwa mfano mzuri wa kuigwa vijana wenye ndoto ya kucheza soka kwa mda mrefu sn.
Huyu jamaa kanikumbusha musemo uliokuwa sema urusi Na Russia ni ipi iliwahi kutoka kwenye kombe la dunia
 
Kwa kitendo cha kumuacha Kelvin Yondani Uzi wako hauna maana yoyote tena umegeuka Wa kishabiki maandazi tu. Labda kama hapo kwa erasto na nyoni umejichanganya na ulikusudia kumuweka Yondani
 
Back
Top Bottom