Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Penati hainaga fundiMkude jana kagoma kupiga penalty
Ondoa mkude Tia Cotton Vidic Yondani..
Huyu jamaa kanikumbusha musemo uliokuwa sema urusi Na Russia ni ipi iliwahi kutoka kwenye kombe la duniaHawa wacheza watatu wanastaili heshima ya kipekee kwa taifa letu. Kwanza wamecheza kwa kiwango cha juu kwa muda mrefu takribani miaka 15 wakiwa katika ubora ule ule. Lakini cha msingi zaidi ni mchango wao katika timu ya taifa. Hawa wachezaji watabaki kuwa mfano mzuri wa kuigwa vijana wenye ndoto ya kucheza soka kwa mda mrefu sn.
Hapo sawaSorry wakuu furaha ilizidi nilimaanisha Kaseja,Yondani na Elasto.