Kasema ana watoto wawili na hataki tuachane

monta

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2014
Posts
1,271
Reaction score
1,803
Wakuu nilibahatika kupata binti flani mrembo akiwa field ya nursing wakati mzee wangu alipolazwa katika hospital flan. Umri Wangu ni wa wastani, bado mbich. Alinikubali na ananipenda sana.Tatizo ni kuwa juzi kati kanambia kuwa ana watoto wawil na mtu anaye lakini ananipenda sana na hataki tuachane. Umri wake bado mdogo kabisa na bado sijamgegeda. Wakuu naombeni ushauri

NB: Binti ni mrembo sana kwa mwanaume yoyote rijali lazima utamani kuwa nae
 
Sasa unaomba ushauri wa nini?
We mtu mzima hata kujiongeza huwezi?
Mtu ana mtu na anakutaka wewe basi jua ipo siku atamataka mwingine pia hata akiwa na wewe
 
Aiseee huyo demu ni kicheche tu hana lolote.Sasa na wewe ushaambiwa ana mtu still bado unataka kuwa nae kwa hiyo umekubali kuwa mchepuko!!?
 
Hivi suala hili nalo ni la kuwauliza watu wazima?

Mwanamke ana watoto wawili na mwanaume wake, wewe kwa kuzuzuka na urembo wake akili ishakuvurugika...
 
Sasa unaomba ushauri wa nini?
We mtu mzima hata kujiongeza huwezi?
Mtu ana mtu na anakutaka wewe basi jua ipo siku atamataka mwingine pia hata akiwa na wewe

lakn sija fany investigation mku
 
Hivi suala hili nalo ni la kuwauliza watu wazima?

Mwanamke ana watoto wawili na mwanaume wake, wewe kwa kuzuzuka na urembo wake akili ishakuvurugika...

mkuu cijachunguza kama n kwel ana watot au lah!pia cna mpango wa kuoa
 



paragraph ya mwisho inaonekana kabisa kuwa unataka ushauri wa mlengo gani!!

Utu wema na uungwana ni pale unapokutana na mke / mme wa mtu asiye mwaminifu na kumsaidia kuwa mwaminifu!!

usidate na mtu aliye na mtu! Mbona binadamu hatuheshimiani!!
 
Labda alitaka awe mchepuko wake badala yake yy bwana kaka ndo atakua mchepuko
 
Tatizo urembo wa binti umekukosesha maamuzi??????? Mwanaume yake maamuzi mwanamke yake ushauri.
 

sawa mku bt me ckujua hlo na alnambia hana mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…