Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumega kisela tu
Ni wewe tu mkuu kazi kwakome naona nifanye yang af nisepe
mku hakunambia kama ana mtu hapo kabla
DuuhWakuu nilibahatika kupata binti flani mrembo akiwa field ya nursing wakati mzee wangu alipolazwa katika hospital flan. Umri Wangu ni wa wastani, bado mbich. Alinikubali na ananipenda sana.Tatizo ni kuwa juzi kati kanambia kuwa ana watoto wawil na mtu anaye lakini ananipenda sana na hataki tuachane. Umri wake bado mdogo kabisa na bado sijamgegeda. Wakuu naombeni ushauri
NB: Binti ni mrembo sana kwa mwanaume yoyote rijali lazima utamani kuwa nae