Kasema ana watoto wawili na hataki tuachane

Kasema ana watoto wawili na hataki tuachane

Tatizo urembo wa binti umekukosesha maamuzi??????? Mwanaume yake maamuzi mwanamke yake ushauri.

nilmwambia me sitaweza hakawa analia na kusema ananpenda sana yan hatak nimuache cjui kwa nin
 
Naona na wewe umekuja kuonekana na wewe umeanzisha uzi. Hapo hatuna ushauri. Akili kumkichwa
 
katoe posa mfunge ndoa kabisa ili uanze kulea watoto wa wenzio. mwenye watoto atakusifu sana
 
mku hakunambia kama ana mtu hapo kabla

Ila watoto wengine bwana,,, hakukwambia kabla kama ana mtu, na sasa kakwambia ana mtu na watoto wawili bado tu unataka ushauri, arrrrrrrrrrgh!
Litakapokuja swala la kutaka ushauri sijui utataka nini kama vitu kama hivi ambavyo viko wazi bado eti unataka ushauri,


Bulldog hajakose hapo juu,,
 
Wakuu nilibahatika kupata binti flani mrembo akiwa field ya nursing wakati mzee wangu alipolazwa katika hospital flan. Umri Wangu ni wa wastani, bado mbich. Alinikubali na ananipenda sana.Tatizo ni kuwa juzi kati kanambia kuwa ana watoto wawil na mtu anaye lakini ananipenda sana na hataki tuachane. Umri wake bado mdogo kabisa na bado sijamgegeda. Wakuu naombeni ushauri

NB: Binti ni mrembo sana kwa mwanaume yoyote rijali lazima utamani kuwa nae
Duuh
 
Back
Top Bottom