monta
JF-Expert Member
- May 6, 2014
- 1,271
- 1,803
Wakuu nilibahatika kupata binti flani mrembo akiwa field ya nursing wakati mzee wangu alipolazwa katika hospital flan. Umri Wangu ni wa wastani, bado mbich. Alinikubali na ananipenda sana.Tatizo ni kuwa juzi kati kanambia kuwa ana watoto wawil na mtu anaye lakini ananipenda sana na hataki tuachane. Umri wake bado mdogo kabisa na bado sijamgegeda. Wakuu naombeni ushauri
NB: Binti ni mrembo sana kwa mwanaume yoyote rijali lazima utamani kuwa nae
NB: Binti ni mrembo sana kwa mwanaume yoyote rijali lazima utamani kuwa nae