Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mjumbe wa NEC Richard Kasesela, amesema kama una mpango wa kumnyima Kura Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassani basi usiende hospitali, usipite kwenye barabara zetu
Amejenga kwa hela yakeMjumbe wa NEC Richard Kasesela, amesema kama unampango wa kumnyima Kura Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassani basi usiende hospitali, usipite kwenye barabara zetu
Shida ya huyu mwili umemizidii ndio maana .Mjumbe wa NEC Richard Kasesela, amesema kama una mpango wa kumnyima Kura Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassani basi usiende hospitali, usipite kwenye barabara zetu
Mjumbe wa NEC Richard Kasesela, amesema kama una mpango wa kumnyima Kura Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassani basi usiende hospitali, usipite kwenye barabara zetu
Ila hawa watu, kama wanaumia watanzania kutumia mahospitali na barabara si waache kukusanya kodi za watanzania ili kila mmoja ashinde mechi zake!!Mjumbe wa NEC Richard Kasesela, amesema kama una mpango wa kumnyima Kura Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassani basi usiende hospitali, usipite kwenye barabara zetu