Sawa - basi na nyinyi CCM msiwalipishe tozo, ushuru na kodi lukuki wasiotiki !!Mjumbe wa NEC Richard Kasesela, amesema kama una mpango wa kumnyima Kura Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassani basi usiende hospitali, usipite kwenye barabara zetu