Kasesela: Nikiwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa, nilikuwa naenda club ku-rap

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Yaani, mambo mengine unashindwa ucheke au ukae kimya.

Angalia umri na majukumu, na hadhi, halafu anaenda club ku-rap. Maneno haya aliyasema akifanya intavyuu na Dar24

Nadhani hawa viongozi wawe wanapewa strict code of conduct
 
What is a problem na mtu kwenda club ku rap?!. Kipaji hakina umri!. Mimi mwenyewe nakwenda 60 na mara moja moja napanda club na rap, kwenye bendi napanda stejini na kuimba Georgina!, na humu JF nimewaletea rap kibao tuu!.
Miongoni mwao ni hizi Kwa Wapenzi wa Muziki: "Bado tunapanda, Tunapanda milima, Najua tutafika, Tutafika lazima!"
na Umechoshwa na Ujinga, Umasikini, Maradhi, Rushwa na Ufisadi?!, 25/10 "Give It, "Just One More Try!" Na hapa Muziki wa Hip Hop bongo umetokea mbali-Tujikumbushe kidogo
Hivyo kipaji hakina umri!.
P
 
Yaani, mambo mengine unashindwa ucheke au ukae kimya.

Angalia umri na majukumu, na hadhi, halafu anaenda club ku-rap. Maneno haya aliyasema akifanya intavyuu na Dar24

Nadhani hawa viongozi wawe wanapewa strict code of conduct
Huyo chamatusi hana akili nzuri
 
Yaani, mambo mengine unashindwa ucheke au ukae kimya.

Angalia umri na majukumu, na hadhi, halafu anaenda club ku-rap. Maneno haya aliyasema akifanya intavyuu na Dar24

Nadhani hawa viongozi wawe wanapewa strict code of conduct

Aliyoa maelezo hayo baada ya kuulizwa swali?

Ilikuaje hadi akataja mambo yote hayo?
 
What is a problem na mtu kwenda club ku rap?!. Kipaji hakina umri!. Mimi mwenyewe nakwenda 60 na mara moja moja napanda club na rap, kwenye bendi napanda stejini na kuimba Georgina!, na humu JF nimewaletea rap kibao tuu!.
P
Mkuu, wewe ni bosi wa PPR, sio mkuu wa wilaya.Mwemyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, msimamizi wa maendeleo ya wilaya, haiwezekani, akitaka kwenda mabarabarani, atuachie cheo chetu
 
Kwani ukiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama hautakiwi kuimba,kucheza na kufurahi?Kwamba bunduki zitajifyatua risasi?😂😂😂😂
 
Kasesela Manager nipo hapa tukipeleke kipaji next level
 
Mimi ninadhani si kosa kujitafutia kipato baada ya saa za kazi, kama ambavyo wakuu wa nchi wanafanya biashara wakati wa ziara za kikazi.

waziri anayeingia bungeni amelewa na DC anayeenda club tena usiku muda usio wa kazi, nani afadhali?
 
Back
Top Bottom