Kasesela: Nikiwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa, nilikuwa naenda club ku-rap

Mkuu unakwama sehemu.Vitu vingine mbona vipo sawa tu!Angevunja sheria tungemsimanga.Siyo ku-rap au kuimba vyovyote.
Ukiwa kiongozi, vitu vingine havihitaji kutungiwa sheria, ukiwa mkuu wa wilaya uko kwenye matazamio ya kwenda mbele na wewe ni sura ya nchi.

Masha aliyekuwa anashinda Rose Garden Yuko wapi?
 
Na hapo amesema "alipokuwa" mkuu wa wilaya.Vipi ungemkuta live kule Club La Parte au Shooters Pub,si ungemuua?😂😂😂😂
 
What is a problem na mtu kwenda club ku rap?!. Kipaji hakina umri!. Mimi mwenyewe nakwenda 60 na mara moja moja napanda club na rap, kwenye bendi napanda stejini na kuimba Georgina!, na humu JF nimewaletea rap kibao tuu!.
Miongoni mwao ni hizi Kwa Wapenzi wa Muziki: "Bado tunapanda, Tunapanda milima, Najua tutafika, Tutafika lazima!"
na Umechoshwa na Ujinga, Umasikini, Maradhi, Rushwa na Ufisadi?!, 25/10 "Give It, "Just One More Try!"
P
Mkuu kuna vitu ikifika sehem kwa nafasi ya mtu katika jamii hawezi kufanya. Ni sawa useme leo rais aende club ku rap ni kitu hakipo!

Wewe unaweza maana hauko kwenye hizo nyazifa.
 
Yaani, mambo mengine unashindwa ucheke au ukae kimya.

Angalia umri na majukumu, na hadhi, halafu anaenda club ku-rap. Maneno haya aliyasema akifanya intavyuu na Dar24

Nadhani hawa viongozi wawe wanapewa strict code of conduct
Ukiwa kiongozi haikufanyi uwe detached from the community, music is not immoral, kimsingi kushiriki kwake kulihamasisha vijana kwenye music carrier.
Karibuni kuwa na akili mtambuka sio uwe na akili finyu vaa uchanya kabla uhasi wa jambo lolote.
 
Mkuu, wewe ni bosi wa PPR, sio mkuu wa wilaya.Mwemyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, msimamizi wa maendeleo ya wilaya, haiwezekani, akitaka kwenda mabarabarani, atuachie cheo chetu
Jibu konki kabisa,DC analipwa kwa kodi zetu lazima awe serious huyu paschal mayala anakula kwa jasho lake hata akiamua kutembea uchi sawa tz
 
Mkuu, wewe ni bosi wa PPR, sio mkuu wa wilaya.Mwemyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, msimamizi wa maendeleo ya wilaya, haiwezekani, akitaka kwenda mabarabarani, atuachie cheo chetu
Mkuu chiembe , ni bahati mbaya sana tumetawaliwa na marais wasio na vipaji vya muziki!, JK akiwa MFA tulikuwa tunakesha nae Msondo, Sugu, Prof. J na Mwana FA ni waheshimiwa wabunge na wana Rap!, hakuna ubaya wowote kwa kiongozi yoyote kwenda night club kupanda stejini na kuimba au ku rap!, unless ana rap akiwa njwii na akimaliza na yeye anajizolea na kujiokotea yale ma zaga zaga na kwenda kujilia pale kwa babu!. Lakini kama ana rap, akichagua nyama, anatoa number ya simu, baada ya hapo wanakutana location, wanamalizana, kisha kila mmoja anaendelea na ustaarabu wake, kuna tatizo gani?.

Mkuu, nimekuelewa unaposimamia
 
What is a problem na mtu kwenda club ku rap?!. Kipaji hakina umri!. Mimi mwenyewe nakwenda 60 na mara moja moja napanda club na rap, kwenye bendi napanda stejini na kuimba Georgina!, na humu JF nimewaletea rap kibao tuu!.
Miongoni mwao ni hizi Kwa Wapenzi wa Muziki: "Bado tunapanda, Tunapanda milima, Najua tutafika, Tutafika lazima!"
na Umechoshwa na Ujinga, Umasikini, Maradhi, Rushwa na Ufisadi?!, 25/10 "Give It, "Just One More Try!" Na hapa Muziki wa Hip Hop bongo umetokea mbali-Tujikumbushe kidogo
Hivyo kipaji hakina umri!.
P
Dah! Wewe kama mimi aisee! Yaani ni kawaida sana mara moja moja nikipata upenyo, huwa naenda kwenye mbuga ya wanyama, kuwinda swala, kwa ajili ya kitoweo.

Maana hakuna namna. Unakuta mtu hunywi pombe! Huvuti sigara!! Hivyo unajikuta tu umekuwa jangili wa swala.
 
Back
Top Bottom