DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Mjumbe wa halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa ndugu Richard Kasesela, Amewataka watanzania kukuza ufahamu na kuacha kuamini kila wanachokisikia na kukiona kwenye mitandao ya kijamii bila kufanyia utafiti
Amesema hayo Leo Oktoba 8, 2025 wakati wa mkutano wa kumnadi mgombea udiwani wa kata ya Kariakoo Ndugu Haji Sunday Manara uliofanyika Katika Mtaa wa Tandamti na Livingstone ambao ulihudhuriwa na Viongozi mbalimbali kutoka Chama cha Mapinduzi.