Kash Patel Mkurugenzi Mpya wa FBI aliyeteuliwa na Rais Trump, mama yake ni Mtanzania!

Kash Patel Mkurugenzi Mpya wa FBI aliyeteuliwa na Rais Trump, mama yake ni Mtanzania!

Watu kwa ujiko jama,haya tuseme ni KWELI TUTAFANIKIWA KUTOKOKEZA DHULMA ZA VIONGOZI.
 
Hii ni Habari Njema kwa watanzania kwamba mkurugenzi mpya wa FBI Kash Patel mama yake alikuwa Mtanzania na baba yake ni Mganda

Tembeeni vifua mbere 😄
Kashyap Pramod Vinod Patel was born on February 25, 1980, in Garden City, New York, to Indian Gujarati immigrant parents. His family originates from the Bhadran village in Gujarat and is of Patidar ancestry.
 
Mtanzania wa viwanda vya kati vikubwa anayefanya makubwa kwa nchi yake Tanzania

Land Cruiser Modify plant ।Tanzania, AFRICA


View: https://m.youtube.com/watch?v=pUCexPBCGkw

Mbali ya mtanzania huyu kutengeneza Ajira na pia kukuza ujuzi wa uundaji na kuongezea thamani bidhaa zinazoaminika ndani na nje ya Tanzania, hili suala la ujuzi wa kazi za kiufundi kwa mikono ndiyo msingi wa kuelekea kuwepo viwanda vikubwa Tanzania
 
Diwani Kata ya Keko, Jasdeep Singh Babhra

View: https://m.youtube.com/watch?v=U9t5HQMBenk



Mheshimiwa diwani kata ya Keko wilaya ya Temeke jijin Dar es Salaam akizungumzia mikakati ya chama chake CCM kuwaletea maendeleo


View: https://m.youtube.com/watch?v=M72x5sVjMEw

Hahahahahaaaa
FB_IMG_1740319325353.jpg
 
Sekta ya ugavi na usafiri nchi Tanzania inachangia pakubwa katika uchumi wa jumla wa Tanzania.

View: https://m.youtube.com/watch?v=kT89RWc_Mho
CSSL Trucks on The Road Moshi Tanzania, ni miongoni mwa makampuni yanayomilikiwa na familia hii ya Charan Singh & Company wazalendo, wazaliwa wa Moshi wenye makao yao mkoani Kilimanjaro Tanzania
 
Mount Meru Group ilitembelewa na mheshimiwa rais John P. Magufuli wa Tanzania kuona kiwanda kikubwa cha mafuta ya alizeti Singida,

View: https://m.youtube.com/watch?v=TFeEm6mh5xY
Mheshimiwa rais alitembezwa na kuangalia makubwa ya waTanzania hawa wanaoshiriki katika sera ya nchi sera ya viwanda vikubwa vya uzalishaji na kutoa fursa za ajira.


Mount Meru Group mbali ya viwanda pia ipo katika sekta ya ugavi wa nishati, ikiwa imejitanua na kujipatia jina la kampuni tajwa ya kiTanzania inayohudumu hadi nchi za Zambia, DR Congo, Mozambique, Rwanda n.k kupeleka mafuta mazito ya migodini Zambia, Congo na vitu vya matufa (sheli) vyenye mtandao Tanzania hadi nchi za Kusini za Afrika SADC

Darmesh Patel wa Mount Meru Group nchini Zambia anasimulia makubwa na imani ya wateja wake ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=6DnIEd6-IJw
 
Swali kubwa ni kuwa Taifa letu la Tanzania kuendelea kushawishi diaspora ya KiTanzania wa nasaba zote kuvutia uwekezaji kwa sera rafiki za kama mataifa ya Marekani kufanya watu wa nasaba mbalimbali kuvutika kufanya shughuli zao Marekani.

Tanzania imeweza lakini inatakiwa juhudi zaidi zitumike na maarifa ili ujuzi wa kiufundi, kibiashara, kiviwanda, biashara za kuvuka mipaka ziwe na kitovu chao Tanzania na kuhakikisha diaspora hii haisimangwi, kubezwa na kutelekezwa.

Kwa pamoja tunaweza.




View: https://m.youtube.com/watch?v=1CIgV3KZO58
 
18 February 2025
Ludewa, Njombe
Tanzania

MLIMA WA MADINI YA CHUMA

View: https://m.youtube.com/watch?v=XOTIBat2sjo
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo, leo tarehe 18.02.2025 ameendelea na ziara yake ya kikazi Wilayani Ludewa Mkoani Njombe.

Na kufika kwenye Mradi mkubwa na wa Kielelezo wa Chuma cha Liganga pamoja na Mlima mdogo wa Maganga Matitu inayosimamiwa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC)Waziri Jafo amesema mMadi huu unaweza kuanza mwaka huu 2025 kwani wataalum wa NDC kwa niaba ya Serikali pamoja na wawakilishi wa Mwekezaji wanakamilisha vipengele vya kimkataba ili Mradi huo uweze kuanza.

View: https://m.youtube.com/watch?v=uxd_04_kJnQ


DIRA YA TAIFA YA MADINI YA CHUMA NA VIWANDA VYA NDANI
Viwanda na madini ya chuma yaliyopo Tanzania, mdau asisitiza tunao watu wenye viwanda vidogo hadi vikubwa hapahapa Tanzania tuharakishe Mchuchuma madini ya chuma yazalushwe....


View: https://m.youtube.com/watch?v=NL0Ej33Mo8Y
 
Njombe mkuu wa mkoa ahimiza waTanzania kuanzisha na kuwekeza katika viwanda

Avo Africa inawekeza USD 7.9M katika kiwanda cha mafuta cha parachichi nchini Tanzania​


View: https://m.youtube.com/watch?v=wW0GZ0FGqfQ

TANZANIA – Avo Africa inawekeza shilingi bilioni 20 (USD 7.9 milioni) kuanzisha kituo cha kutengeneza mafuta ya parachichi huko Makambako, mkoani Njombe, Tanzania.

Kiwanda hicho kinatarajia kuanza kazi mwishoni mwa Februari na kinatarajiwa kusindika tani 600 za parachichi kila siku.

Kwa kuzingatia usindikaji, Avo Africa inalenga kukabiliana na changamoto ya uongezaji thamani mdogo katika sekta ya parachichi ya Tanzania ambayo kwa muda mrefu imekuwa ikitegemea mauzo ya parachichi ghafi nje ya nchi.

Kampuni imeelezea mipango ya kupanua uwezo wa kituo zaidi kufikia katikati ya 2025. Laini mbili za ziada za uzalishaji zitaunganishwa, na hivyo kuongeza uwezo wa mitambo ya kuchakata parachichi.


Maendeleo haya yanaipa nafasi Avo Africa kushindana vyema katika soko la kimataifa la mafuta ya parachichi, yenye thamani ya dola milioni 610.5 mwaka wa 2024 na inakadiriwa kukua kila mwaka kwa 4.2% hadi 2033, kulingana na kampuni ya utafiti wa soko ya IMARC Group.

Uzalishaji wa parachichi Tanzania ulifikia zaidi ya tani 75,500 katika msimu wa 2022/2023, kama ilivyoripotiwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu.

Mradi huu mpya wa uchakataji unatoa soko la uhakika kwa wakulima wa ndani na kinatarajiwa kuboresha mapato yao endelevu.


Pia inaashiria hatua muhimu kwa sekta ya kilimo katika eneo hilo, kuhimiza ukuaji wa uchumi na ajira mpya.

Wakati maendeleo nchini Tanzania yanaleta matumaini, masuala ya usambazaji wa parachichi yameathiri nchi jirani ya Afrika Kusini.

Woolworths, mfanyabiashara mkuu wa Afrika Kusini, hivi karibuni alithibitisha uhaba wa parachichi uliosababishwa na kupungua kwa mauzo ya nje kutoka Tanzania na kiasi kidogo cha mavuno katika Rasi ya Mashariki mwa Afrika Kusini.

"Ucheleweshaji usiotarajiwa wa vifaa unaoathiri parachichi kutoka Tanzania pia umechangia uhaba," kampuni hiyo ilibainisha.


Licha ya changamoto hizi, unafuu unaonekana kukaribia. Woolworths wanaonyesha kuwa mavuno mapya ya parachichi kutoka Msumbiji na Limpopo yako karibu kuwa tayari.

"Hii itapunguza vikwazo vya usambazaji katika wiki zijazo," muuzaji alisema, akisisitiza kujitolea kwake katika kuhakikisha wateja wanapata mazao mapya.

Huku kiwanda cha Avo Africa kikikaribia kufanya kazi, tasnia ya parachichi nchini itanufaika kutokana na kuongezeka kwa uwezo wa usindikaji, kuimarika kwa mapato ya mkulima, na nafasi iliyoimarishwa ya Tanzania katika masoko ya kimataifa
 
Back
Top Bottom