Kash Patel Mkurugenzi Mpya wa FBI aliyeteuliwa na Rais Trump, mama yake ni Mtanzania!

Kash Patel Mkurugenzi Mpya wa FBI aliyeteuliwa na Rais Trump, mama yake ni Mtanzania!

Kazaliwa marekani, halafu wazazi wake Wana urais wa Canada.
 
Kama Mama Mtanzania tuwena uhakika kuwa pindi tukihitaji msaada wa kupambana na watekaji,wauaji,mafisadi,wachakachua chaguzi msaada chap kwa haraka ama Itabidi bado kibali cha Mzee Trump?
Obama alipotembelea Kenya akiwa Rais, hakuruhusiwa wala kupangiwa kwenda Kisumu kwa baba yake mzazi na ndugu zake walikuwepo. Sababu yeye ni mmarekani. Haitusaidii lolote. Ataapa kujilinda katiba ya Marekani na maslahi yake na si vinginevyo
 
Mkuu ukishakua marekani sahau nchi zingine. Obama alikua Rais Kenya ilipata Nini? Makamu wa Rais wa Sasa asili yake ni India na Africa tumepata. Nini?

American interest first hivyo hakuna jipya Kwa lolote tena wanaweza kutumia hiyo kama njia ya kutuingiza shimoni
 
Watanzania mbona tupo kila mahali, kwenye kila issue duniani hutukosekani. Mtanzania vita ya Russia ya ukraine Kuna aliyefia huko, vita ya Israel na hamas watanzania walifia huko. Na leo hii tena kwenye uongozi wa trumps aliyepenya kimiujiza Mtanzania yupo
Angekuwa bongo angebaguliwa kwa uhindi wake wa asili leo kama fbi director anasifiwa
 
Tanzania yavunja rekodi tena Kash Patel ambaye mama yake ni mtanzania ateuliwa kuwa mkuu wa shirika la ujasusi la FBI Marekani na Trump

Huyu ni wa pili baada ya waziri mkuu wa uingereza Rish Sunak ambaye mama yake mtanzania pia
 
Kuwa wanawake wa Tanzania wana uwezo wa kuzaa chema kinacjoweza kutambuliwa kimataifa

Wageni wanakaribishwa si tu kuangalia mbuga za wanyama waje waoe na kuzaa na wanawake wa kitanzania wapate chema
well said watanzani tunafaidi wanawake wakitanzania, ila najiuliza ndio hawa hawa au wengine.
 
well said watanzani tunafaidi wanawake wakitanzania, ila najiuliza ndio hawa hawa au wengine.
Wanawake wa Tanzania wana akili nyingi kuliko wanaume wakizaa na wenye akili wa nje ndipo wanatoa mitoto genius sana .Wanaume wa Tanzania wanatakiwa kujitathimini kama kuna dawa ya kuongeza akili waitafute haraka
 
Tanzania yavunja rekodi tena Kash Patel ambaye mama yake ni mtanzania ateuliwa kuwa mkuu wa shirika la ujasusi la FBI Marekani na Trump

Huyu ni wa pili baada ya waziri mkuu wa uingereza Rish Sunak ambaye mama yake mtanzania pia
Inawasaidia Nini Watanzania?

Mkipata Rais au PM ambae Mama ake ni Mnyarwanda au Mganda mumsifie pia
 
Back
Top Bottom