[emoji15] [emoji15] [emoji15] watu na bahati zao! Subiri ajifungue uonemi wangu mimba ina miezi saba sasa kashaniambia kitambo hana hamu na mimi wala na hicho kitendo kwa hiyo nisimsumbue kwa vyovyote,mbaya zaidi kasema nikitaka kwenda nje niende tu yeye hana habari na mimi kabisa..
yaaani,mpaka najiogopa hata simu zangu hagusi kabisa[emoji15] [emoji15] [emoji15] watu na bahati zao! Subiri ajifungue uone
sasa mkuu nishukuru mungu kwa kunyimwa kitu kizuri[emoji23] [emoji23] [emoji23] Shukuru Mungu nakuambia
mkuu hiyo akili kumkichwa maana colabo nazo zahitaji uzoefu ujue mm huwa naona kama usumbufu tu[emoji14] [emoji15] Duu si umepewa uhuru wa kufanya colabo?
Hahahahshs[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]nilishafungishwa safari za kwenda kula kitimoto na bia karibu kila siku,ole wangu nichelewe kurudi ntaulizwa maswali hayo kazi itatukanwa hiyo ila nikifika home tu ghafla unageukwa tena kunawakati nilishafanywa house boy kabisaaa,mpaka wakumougesha..!!!sema kwa sehemu kubwa nilikuwa na enjoy hivi vituko but sometime ilikuwa too much unaweza kufatwa pahala uko na washkaji ukaamuliwa kama mtoto "wewe haya inuka haraka tangulia nyumbani"tena mtu kafura balaa hata washkaji hakuna anaeguna ila kesho ndio story na utani kweli kweli
Weee jamaa hamnazo kabisaa,hahahahaaaaa,yaani kula embe lake ndo umeamshwa usiku umpikie chai,tehtehtehe ndo ukome siku ingine kudandia vitu vya wenyewe.Siku shemeji yenu aliniamsha satisa usiku nimpikie chai kisa nlikula embe lake mchana... Nlitaman nimpeleke kwao kwa muda.
Acha tu ndugu yangu. Sikudhani kama yangenikuta hayo ila kuanzia hiyo siku nilikoma kabisa.Weee jamaa hamnazo kabisaa,hahahahaaaaa,yaani kula embe lake ndo umeamshwa usiku umpikie chai,tehtehtehe ndo ukome siku ingine kudandia vitu vya wenyewe.
ila umenifanya nimecheka sana kwa kweli,lakini uzuri na wewe kuna kitu umejifunza hapo kutoka kwa hawa wenzetu wanapokuwa katika hali hiyo hata kama inatokea kwa mtu mwingine au rafiki yako unaweza kumshauri ni kwa jinsi gani ya kumuhandle mama mjamzito hasa kwenye masuala ya vitu kama hivyo wanavyovipenda kula wanapokua katika hali kama hiyo.Acha tu ndugu yangu. Sikudhani kama yangenikuta hayo ila kuanzia hiyo siku nilikoma kabisa.
Ikishafika hiyo stage hata kama unajifanya kauzu we kua mpole tu kama konokono anaetaka kumwagiwa chumvi.ila umenifanya nimecheka sana kwa kweli,lakini uzuri na wewe kuna kitu umejifunza hapo kutoka kwa hawa wenzetu wanapokuwa katika hali hiyo hata kama inatokea kwa mtu mwingine au rafiki yako unaweza kumshauri ni kwa jinsi gani ya kumuhandle mama mjamzito hasa kwenye masuala ya vitu kama hivyo wanavyovipenda kula wanapokua katika hali kama hiyo.
Bila shaka hao ndio wale wanaume wa dar es salaamHuyo atakuwa sio mwanaume kamili,huyo nafikiri atakuwa mchelemchele.