STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Khaaa, kwahiyo kisayansi inajulikana hiyo au ndo yale mambo yetu yaleKuna kitu kinaitwa kumbebea mimba mkeo..yani shida zote unapata wewe ilihali yeye anapeta tu na tumbo lake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaa, kwahiyo kisayansi inajulikana hiyo au ndo yale mambo yetu yaleKuna kitu kinaitwa kumbebea mimba mkeo..yani shida zote unapata wewe ilihali yeye anapeta tu na tumbo lake
Duuh, kwahiyo hiyo ni kwa baba mzazi au hata aliyebambikiwa?ni kweli kabisa, wengine wanatapika, kutema mate hovyo, hasira zinazidi na mengineyo mengi.
Mkuu naona umejikaza, si useme tu ni mwanaume wa Dar! HahahHuyo atakuwa sio mwanaume kamili,huyo nafikiri atakuwa mchelemchele.
Wewe hukula udongo....???Ah mie embe hapana nilikuwa napenda ubuyu..... Kipindi hicho ofisi iko karibu na imalaseko supermarket.....asubuh napitia ubuyu wangu....unaliwa mpaka nikitoka. Napitia pweza na supu yake....nikifika nyumbani barafu natafuna mpaka meno yanakufa ganzi......ila sasa haya yote siwezi kuyafanya....mimba kiboko.....
Ingekuwa inaapply kwa wanaume wote, basi hii ndio ingekuwa DNA toshaa,,, Kama mke ana mimba alafu kidume haujatapika lazima kiwakeHapana haya yapo sana na hayahusiani kabisa na 'mambo yetu yale'
You know you don't have to mention Silas every time we're having a convo, right? It kinda kills the vibe. Well then, I'll holla when I'm ready to click.
I'm good Kasie, thank you. How are you, yourself?
Sikuwahi hata kutamani...............Wewe hukula udongo....???
Hahahahahahahaaa vile unavomkataza Kasie kuvifanya ndo kama unamtuma avifanye. .....
Anyway I'll stop mentioning Silas as you wish ila...... I'll prefer watching you naked with my lens glasses as you offer earlier rather than clicking. ...
All right, Kasie.
*Got me singing in Otis Redding's*
I make it not easier, not easier to bear, no/
but you won't regret oh no, girls they don't forget it...
Joyful pain this is home, happynes when it's done/
Squee... squee... squee... squeeze her...
brazaa ushamjaza mtu mimba lolAcha kabisa hii maneno
Kuteseka ni lazima kwa mama hata kwa baba pia
Huruma zaidi huja pale mimba inapomgeukia baba na kuwa kama yeye ndio kaibeba! Yaani vichefu chefu vyote yeye malimao mbilimbi na ubuyu ni yeye. .huwa inatia huruma mno
Miezi tisa ya ujauzito si safari rahisi asilani kuna mengi hapo yanayohitaji kujitoa na uvumilivu wa kiwango cha juu mno
.mimba zina hulka ya kupenda watu fulani
.mimba zina hulka ya kuchukia watu fulani bila sababu
.mimba zinaleta hasira na kisirani
.mimba zina tabia ya kupenda sana ama kuchukia sana vyakula vya aina fulani (usiombe mjamzito akose akitakacho ni shida kubwa)
.baadhi ya mimba huja na na baraka lakini nyingine huja na mikosi
.baadhi ya mimba ni kuugua mwanzo mwisho na baadhi ni kutapika kila kinachoingia mdomoni kwa miezi yote tisa
Inasemekana mimba za watoto wa kiume ndio zenye mateso sana kuliko zile za watoto wa kike
Jamani jamani jamani kwa wale ndugu zangu ambao ndio wanatarajia kupata watoto wa kwanza figisu za mimba zaweza kuwa kitu kigeni kwao...nawashauri sana mkiona mabadiliko wakati wa ujauzito wa shemeji jitahidini kuvumilia kwakuwa sio wao na si kwamba wanafanya kusudi ni hio hali waliyo nayo
-mkeo anaweza kuongeza wivu maradufu! vumilia
-mkeo anaweza kuwa mtu wa kususa na kuzira hata kwa kitu kidogo kabisa! vumilia
-mkeo anaweza kuwa na ongezeko la hamu ya kufanya ngono au kupoteza hamu kabisa! Vumilia
Yapo mengi mengi mno yatokeayo kipindi cha ujauzito na kama ndio unaingia kwenye ndoa na mimba hapo hapo unaweza kuona maisha ya ndoa ni jehanam kubwa...Vumilia baada ya miezi 9 yote huisha na furaha ya kiumbe kipya hutamalaki
Kweli....?? Afadhali lakini!Sikuwahi hata kutamani...............
Kweli kabisa.....Kweli....?? Afadhali lakini!
tehee.......tena kweli!! kinamama jibun hiliHizi mimba buana, sijawahi sikia eti mimba imekataa pesa....[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]