Kasheshe vituko na vitimbwi vya mimba

Kasheshe vituko na vitimbwi vya mimba

Umeokoa jahazi, nlikua nataka nimpeleke nyumbani huyu ila ntamuacha hapa hapa, ni mimba yake ya kwanza ila sasa imekua kama ana kidonda vile dah...
 
Enzi zake......hapo mate yashajaaa mdomoni........huyo jamaa alikuwa ananiwekea na kiti changu kabisa ....nikifika napewa kiti na supu yangu nakunywa ah roho inazuuzika kabisa......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umeokoa jahazi, nlikua nataka nimpeleke nyumbani huyu ila ntamuacha hapa hapa, ni mimba yake ya kwanza ila sasa imekua kama ana kidonda vile dah...
Pole sana vumilia ni mapito tu
 
Acha kabisa hii maneno
Kuteseka ni lazima kwa mama hata kwa baba pia
Huruma zaidi huja pale mimba inapomgeukia baba na kuwa kama yeye ndio kaibeba! Yaani vichefu chefu vyote yeye malimao mbilimbi na ubuyu ni yeye. .huwa inatia huruma mno
Miezi tisa ya ujauzito si safari rahisi asilani kuna mengi hapo yanayohitaji kujitoa na uvumilivu wa kiwango cha juu mno
.mimba zina hulka ya kupenda watu fulani
.mimba zina hulka ya kuchukia watu fulani bila sababu
.mimba zinaleta hasira na kisirani
.mimba zina tabia ya kupenda sana ama kuchukia sana vyakula vya aina fulani (usiombe mjamzito akose akitakacho ni shida kubwa)
.baadhi ya mimba huja na na baraka lakini nyingine huja na mikosi
.baadhi ya mimba ni kuugua mwanzo mwisho na baadhi ni kutapika kila kinachoingia mdomoni kwa miezi yote tisa
Inasemekana mimba za watoto wa kiume ndio zenye mateso sana kuliko zile za watoto wa kike
Jamani jamani jamani kwa wale ndugu zangu ambao ndio wanatarajia kupata watoto wa kwanza figisu za mimba zaweza kuwa kitu kigeni kwao...nawashauri sana mkiona mabadiliko wakati wa ujauzito wa shemeji jitahidini kuvumilia kwakuwa sio wao na si kwamba wanafanya kusudi ni hio hali waliyo nayo
-mkeo anaweza kuongeza wivu maradufu! vumilia
-mkeo anaweza kuwa mtu wa kususa na kuzira hata kwa kitu kidogo kabisa! vumilia
-mkeo anaweza kuwa na ongezeko la hamu ya kufanya ngono au kupoteza hamu kabisa! Vumilia
Yapo mengi mengi mno yatokeayo kipindi cha ujauzito na kama ndio unaingia kwenye ndoa na mimba hapo hapo unaweza kuona maisha ya ndoa ni jehanam kubwa...Vumilia baada ya miezi 9 yote huisha na furaha ya kiumbe kipya hutamalaki
Ukweli 100%
 
1469073113877.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji85]
 
Mkuu usisahau na wale wanaotaka dudu hata mara tano au zaidi kwa siku maana genye zao zinakuwa plus plus.
mda mwingine hadi mgawa dudu unamuhurumia mpokea dudu.. yan tumbo ndi ndi ndii na dudu dudududuuuuuu.. hatari lakin salama
 
Acha kabisa hii maneno
Kuteseka ni lazima kwa mama hata kwa baba pia

.baadhi ya mimba huja na na baraka lakini nyingine huja na mikosi
tafadhari mshana embu dadavua upande wa baraka na mikosi. mie wakati shemeji yako mjamzito nilikuwa na majanga ya kugombana na makonda wa daladala plus kuibiwa kwenye biashara zangu( iwe kwa wafanyakazi au wezi kuvunja). mwishowe nkamwachia Mungu kha
 
Mapambano ya dunia ya giza na dunia ya nuru huanza tangu kutungwa mimba refer post ya mimba za kuzimu [/URL, watoto ni baraka na uumbaji wa Mungu lakini shetani hufanya kila namna aongeze idadi ya wanaomtii, na hupenda zaidi kuchukua kabla ya kuzaliwa
Kwahiyo vita huanzia hapo..ndio maana utakuta kipindi hicho ukiacha zile kasheshe za kawaida za mimba lakini kuna mambo mengine ya ziada ya kushangaza hujitokeza
 
Kuna kitu hakiko sawa hapa lakini maana yangu ni kwamba kipindi cha mimba kiumbe aliyeko tumboni hupiganiwa na nguvu mbili hasi na chanya rejea mimba za kuzimu
 
I report you for using alien's, 'steada languages we all understand.

"Clicking Kasie" sounds about nice too tho. Are you clickable?

Ooh yeah.....

Silas do that several times. ....

About the language.... worry out sometimes Kasie is a linguistic, was telling Mshana how pple in hear baptise Kasie another tribe easly like that while it's known openly that Kasie ni mbeba mizigo mizito.

How are you?
 
Mizigo mizito lakini sio ile inayohema [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Haaaaa aaaaaa hariikaaa. ......haiyee

Si hiyoo banaaaa Kasie hethina ulozii hangi thiumanyaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Ooh yeah.....

Silas do that several times. ....

About the language.... worry out sometimes Kasie is a linguistic, was telling Mshana how pple in hear baptise Kasie another tribe easly like that while it's known openly that Kasie ni mbeba mizigo mizito.

How are you?

You know you don't have to mention Silas every time we're having a convo, right? It kinda kills the vibe. Well then, I'll holla when I'm ready to click.

I'm good Kasie, thank you. How are you, yourself?
 
Back
Top Bottom