Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #41
Kuna kitu kinaitwa kumbebea mimba mkeo..yani shida zote unapata wewe ilihali yeye anapeta tu na tumbo lakeStori mitaani zinasema eti mwanamke akiwa na mimba basi mumewe pia anakuwa na uchovu flani either kulala lala n.k
Hii imekaaje? mshana jr Evelyn Salt Kasinde