DOKEZO Kashfa afisa elimu Longido, walimu ni Ngono na ulevi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hakuna kazi Ina watu wapumbavu kama walimu.
Kwamba ni wapumbavu !? Hilo hapana sio wapumbavu sababu ukisha waita walimu wapumbavu maana yake hata wewe pia ni mpumbavu sababu hao unao waita wapumbavu ndio walio kufundisha hata wewe

Ila tabia zingine hizo za kuchongeana na kusemana wao kwa wao zipo
 
Ulimuelewa aliposema kila mtu ale kulingana na urefu wa kamba yake?
Ulimuelewa aliposema ficheni Siri a akatolea mfano wa ving'asti kuingia maofisini,unajua ving'asti ni akina nani,na unajua Kuna watu wanamslizanaga maofisini?
Tulia.
 
Walimu ni watu wa hovyo sana
 
Sawa mwalimu wa apo shule tutawafukuza wote ubaki ww

Karma is real huna mda mrefu apo kazini

No one is perfect ila usimuongolee ubaya mwenzako wakati yako yamejaa.

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Na imani watakuwa wametuelewa sana huwa wanajiona wao wana akili sana kuliko kada nyingine kisa wamesoma Philosophy wanakuja kutuletea mtaani humu
 
Profesa Adolf Mkenda , mfumo unaotumika kuwapata na kuwateua maafisaelimu wa mikoa na wilaya ni mbovu na umenuka rushwa.
Pili uwepo wa idara mbili za elimu ndani ya halmadhauri moja nibupotevu wa fedha za walipa kodi
Tatu, iwapo utafanikiwa kufuta mtihani ya darasa la saba moja kwa moja ondoa idara mbili za elimu zilizopo na unda idara moja tu ya elimu
Mwisho , uteuzi wa maafisaelimu uwepo na uunganishwe na interview ys written na oral ili kupata watumishi makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…