Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kada Ina majungu sanaNa kwanini ahusishwe Sana kaimu afisa elimu badala ya afsa wilaya mwenyewe.!
Unataka cheo tu[emoji2]Profesa Adolf Mkenda , mfumo unaotumika kuwapata na kuwateua maafisaelimu wa mikoa na wilaya ni mbovu na umenuka rushwa.
Pili uwepo wa idara mbili za elimu ndani ya halmadhauri moja nibupotevu wa fedha za walipa kodi
Tatu, iwapo utafanikiwa kufuta mtihani ya darasa la saba moja kwa moja ondoa idara mbili za elimu zilizopo na unda idara moja tu ya elimu
Mwisho , uteuzi wa maafisaelimu uwepo na uunganishwe na interview ys written na oral ili kupata watumishi makini
Mkuu halmashauri zote siku vyeo vinatafutwa kwa kuhonga.5M kuwa mkuu wa shule akiutaka U-DEO si atatoa 100M
Mkuu wa shule ana privilege gani zaidi ya posho ya 250k?
Walimu wakiwa wa hovyo wewe unakosaje kuwa wa hovyoWalimu ni watu wa hovyo sana
Possibility n kubwa maana adui wa mwalimu n mwalimu.Una uhakika aliyetoa taarifa ni Mwalimu?