DOKEZO Kashfa kubwa kanisa la KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani. Kanisa latumika kuwauzia mashamba hewa waumini wake. Ekari feki 15,000 ziliuzwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Apo inaonekana ata kanisa walikua hawajui,huo ukanda eneo la ranch ya taifa ni kubwa,wangemleta surveyor wa serikali kwanza ,kuwajulisha Kama eneo lote ni salama ,au ranch imepitia
Makanisa siku hizi ni vichaka vya wezi, malaya na wauaji
 
Hao waumini mbona ni kama mazezeta fulani hivi, wanauziwaji viwanja wasivyoviona?
Wamejazwa Imani wakaiva hawana tofauti na wale waumini wa Shakahola na mchungaji wao MacKenzie.

Hapo ukiwaambia wafunge mwezi bila kunywa Wala kula watafunga tu.
 
Ndio iwe miaka 12?
 
Ndio iwe miaka 12?
Hapo ndio pana shida. Sema pesa zinazopigwa na taasisi za dini hata kama kulikuwa na makosa yaliyo nje ya uwezo wao huwa ni shida kurudi. Ila wakiamua kukomaa bila kuonea huruma mambo yanakaa sawa. Shida wanaoonekana kutapeliwa ni waumini wa kanisa husika hivyo wanaogopa kuchukua hatua za sheria kwa uongozi na kanisa lao. Vinginevyo lingekuwa liliisha kitambo
 
Kashfa nzito kwa nchi ni hii hapa wala siyo hiyo
Your browser is not able to display this video.
 
Wako wapi wazee wa tunaamini makanisa ambayo ni taasisi...?
 
Ila wakristo sijui wanajifunza wapi ujinga wao chochote utakacho waambia wanaitikia tuu hata ukiwaambia chezea mjegeje anakubali tu.
 
So sad
 
Niliwahi kuipenda sana KKKT sana tuu. Ila malasusa na Genge lake kwanza walianzisha sadaka zisizo na mpangilio then wakaja kupora kiti cha mtu huku konde nimejiunga na warutheli wa africa mashariki na naendelea kumuabudu Mungu kwa furaha na uhuru
'Warutheli' wa africa mashariki ndo kina nani Mkuu
 
'Warutheli' wa africa mashariki ndo kina nani Mkuu
Kuna makanisa mengi ya kirutheli duniani. Tanzania tunayo mawili kanisa la kiinjili la kirutheli Tanzania na kanisa la kirutheli africa mashariki KKAM
 
Tuelewane, maoni yangu siyo ya KIBAGUZI.
Kama KANISA limejaa WACHAGA, WHAT DO YOU EXPECT?!😂😅🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…