DOKEZO Kashfa kubwa kanisa la KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani. Kanisa latumika kuwauzia mashamba hewa waumini wake. Ekari feki 15,000 ziliuzwa

DOKEZO Kashfa kubwa kanisa la KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani. Kanisa latumika kuwauzia mashamba hewa waumini wake. Ekari feki 15,000 ziliuzwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ufafanuzi upi? Miaka 12 sasa kanisa halina mashamba ya kuwaonyesha walio yanunua? Yaani watu waliuziwa mbuzi kwenye gunia
Nyinyi mlitoa sadaka na siyo manunuzi ya Aridhi kama mnavyo dai, kanisa linajua hizo pesa zilikua sadaka tu! La sivyo liburuzeni kanisa lenu mahakamani labda mtapata haki yenu!!
 
Back
Top Bottom