jkipaji JF-Expert Member Joined Sep 22, 2019 Posts 6,963 Reaction score 9,401 Dec 7, 2023 #122 Jemima Mrembo said: Ufafanuzi upi? Miaka 12 sasa kanisa halina mashamba ya kuwaonyesha walio yanunua? Yaani watu waliuziwa mbuzi kwenye gunia Click to expand... Nyinyi mlitoa sadaka na siyo manunuzi ya Aridhi kama mnavyo dai, kanisa linajua hizo pesa zilikua sadaka tu! La sivyo liburuzeni kanisa lenu mahakamani labda mtapata haki yenu!!
Jemima Mrembo said: Ufafanuzi upi? Miaka 12 sasa kanisa halina mashamba ya kuwaonyesha walio yanunua? Yaani watu waliuziwa mbuzi kwenye gunia Click to expand... Nyinyi mlitoa sadaka na siyo manunuzi ya Aridhi kama mnavyo dai, kanisa linajua hizo pesa zilikua sadaka tu! La sivyo liburuzeni kanisa lenu mahakamani labda mtapata haki yenu!!
jkipaji JF-Expert Member Joined Sep 22, 2019 Posts 6,963 Reaction score 9,401 Dec 7, 2023 #123 LOTH HEMA said: Hao waumini mbona ni kama mazezeta fulani hivi, wanauziwaji viwanja wasivyoviona? Click to expand... Si wanaliamini sana kanisa lao!!
LOTH HEMA said: Hao waumini mbona ni kama mazezeta fulani hivi, wanauziwaji viwanja wasivyoviona? Click to expand... Si wanaliamini sana kanisa lao!!
KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 8,589 Reaction score 16,936 Dec 7, 2023 Thread starter #124 Msanii said: Wabanwe. Wezi hao Click to expand... Ni organised crime hadi kwenye vyombo vya serikali
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Dec 7, 2023 #125 TAJIRI MKUU WA MATAJIRI said: Ni organised crime hadi kwenye vyombo vya serikali Click to expand... Basi tatizo ni CCM. Tuwakatae
TAJIRI MKUU WA MATAJIRI said: Ni organised crime hadi kwenye vyombo vya serikali Click to expand... Basi tatizo ni CCM. Tuwakatae
Jemima Mrembo JF-Expert Member Joined Jul 19, 2021 Posts 2,864 Reaction score 8,328 Dec 18, 2023 #126 jkipaji said: Si wanaliamini sana kanisa lao!! Click to expand... Nimesha acha kusali
nyiokunda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 1,976 Reaction score 1,181 Dec 20, 2023 #127 Jemima Mrembo said: Usharika wa Mwenge tukutane hapa. MCHUNGAJI KANANSIA ndio alikuwa kinara wa udalali wa utapeli huu Click to expand... Alishanishawishi ninunue ,mjanja janja sana
Jemima Mrembo said: Usharika wa Mwenge tukutane hapa. MCHUNGAJI KANANSIA ndio alikuwa kinara wa udalali wa utapeli huu Click to expand... Alishanishawishi ninunue ,mjanja janja sana
Afro Super Bags Member Joined Apr 5, 2023 Posts 49 Reaction score 110 Dec 31, 2023 #128 Msanii said: Wabanwe. Wezi hao Click to expand... Malasusa anaongoza kundi la wezi
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Dec 31, 2023 #129 Afro Super Bags said: Malasusa anaongoza kundi la wezi Click to expand... Ndo maana karudi kuongoza tena. Tamaa ya madaraka ni ulafi
Afro Super Bags said: Malasusa anaongoza kundi la wezi Click to expand... Ndo maana karudi kuongoza tena. Tamaa ya madaraka ni ulafi
Afro Super Bags Member Joined Apr 5, 2023 Posts 49 Reaction score 110 Dec 31, 2023 #130 Msanii said: Ndo maana karudi kuongoza tena. Tamaa ya madaraka ni ulafi Click to expand... Very sad