Kashfa kwa Vatikan na kwa kanisa la Romani Katoliki

Marekani kuna KKKT?
 
Ukristo haukuwahi kuwa dini..ni busness group's la wakoloni .
Kinachoufanya usiwe dini ni kitu gani? Na ipi hasa ni dini unayoamini wewe ni ya kweli tukiifuata content ya ulichoandika hapo juu?
 
Ibadilishwe sheria viongozi wao wawe wanaoa au kwa masister wawe wanaolewa.
Mkuu; Sidhani kama hilo ni suluhisho. Mbona waliooa na kuolewa bado lipo hilo tatizo? Nakubaliana na Dudus kwamba ni Suala la mtu binafsi na Muumba wake.
 
It's better to be a Buddhist kama mimi
 
Kwani waliooa huwa hawadhalilishi watoto? Wote waliopatikana na hatia ya kunyanyasa watoto kingono ni makasisi tu. Useja ndiyo upadre na useja ukimshinda Padre anakaa pembeni. Kosa halibadili kanuni na sheria. Acha hizo
Mkuu Kolola; Hebu mwongezee na hili - Je. hajawahi sikia/soma Baba aliyemlawiti mtoto wake wa kiume wa kumzaa mwenyewe??? Je, hasomi habari za Waalimu na wanafunzi wao huko mashuleni?? Mimi nadhani Ifike tu mahali tuone ni Kosa na tuiache sheria ichukue Mkondo wake. Hivi ukiulizwa: Ni kipi kibaya zaidi- Kuua(e.g.kutoa mimba au kupoteza watu) na kudhalilisha mtoto?
 
Naona unajaribu kukipilizia kinyesi manukato "Pafyumu"
 
Mtu anionyeshe fungu lolote la Biblia linaloruhusu watu kulawiti au kufanya ushoga.
Zaidi sana kuna mafungu takribani saba yanayokataza vitu hivyo and all forms of sexual perversion.
Sasa hao wakristu wanaofanya hayo kawaulizeni wanaamini kitabu kipi.
 
Mkuu; Ukitafuta fungu linaloruhusu hiyo mambo hutokaa ulipate kamwe na halitakuwepo kabisa sio tu katika Biblia bali hata na vitabu vingine vyote vitukufu e.g. Quran au katika Mila na desturi za Jamii yoyote ile. Hiyo kitu HAIKUBALIKI. Kwa hiyo usijisumbue kutafuta fungu lolote eti linaloruhusu.... - HAMNAGA hiyo kitu Mkuu. Labda tembelea "The Temple of Satan"
NB: Hao Wakristu wanaofanya hayo ni sawa (equally insane) na watu wengine wakosefu /wachafu wanaofanya hayo madudu bila kuwabagua kiimani.
After all Mkuu; zingatia kwamba Hakuna dhambi mpya i.e. Hayo unayodhani ni kosa kuuubwa sana yalishafanyika karne nyingi zilizopita hata kabla ya Yesu Kristo na Mtume Muhammad(SAW). Labda sema tu ni kwamba walioyafanya enzi hizo waliyafanya ki-Analogia zaidi, leo yanafanyika ki-Digitali. Lakini kitu ni kilekile.
 
Waliohusika wawajibike. Kwani wanalazimishwa kuwa makasisi? Ili uwe kasisi kuna standards zake. Siamini kabisa katika kutafuta excuse
 
Tamaa ya kingono haiwezi kumalizwa kwa kuruhusiwa kuoa, believe me.......bado utataka uwe na michepuko huku na kule.
 
Ebu leta hilo swali ambalo kwa akili yako unazan halina jibu na kumbe jibu lipo
 
Tamaa ya kingono haiwezi kumalizwa kwa kuruhusiwa kuoa, believe me.......bado utataka uwe na michepuko huku na kule.
Kuoa kuna faida nyingi zaidi kuliko kutokuoa.Wakiruhusiwa kuoa kwa kiasi kikubwa watapunguza huu ujinga unaoendelea kwao.kwahiyo itabaki kua tatizo la mtu binafsi.ila kwasasa utaratibu wao wa useja unachagiza zaidi kushamiri kwa hivyo vitendo.Mungu hakua mjinga kutuletea wanawake.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…