Kashfa nzito kwa Amunike na wabunge,matusi na kupanga matokeo kwahusishwa huko Misri

Kashfa nzito kwa Amunike na wabunge,matusi na kupanga matokeo kwahusishwa huko Misri

Upuuzi wa mtoa mada. .. Unaonyesha ujinga wake.

Kama unakumbuka wiki iliyopita, tuliishia
pale ambapo mtu mmoja raia wa Misri,
anayedaiwa kuwa na ukaribu na Kocha
Amunike alifika katika kambi ya Stars katika
eneo la New Cairo katika Hoteli ya
LandaMark Helnan na kutamka mambo
yaliyoonyesha kutaka upangaji wa matokeo.

Raia huyo wa Misri amewahi kufika kambini
hapo kumjulia hali Kocha Amunike na
inaelezwa ni wakala wake. Alikuwa akijua
kama inawezekana Stars kufungwa mabao
mengi zaidi.

“Alisema kwamba dhidi ya Algeria, Stars
itafungwa lakini angetamani kuona mabao
mengi. Hivyo alikuwa akiuliza ili iwe hivyo
yeye afanye nini,

” kinaeleza chanzo.

Mmoja wa madereva waliokuwa
wanawaendesha viongozi wa TFF ndiye
aliyeanza kunitonya kuhusiana na hilo,
akisisitiza niwaeleze viongozi kwamba yule
si mtu mzuri kwa kuwa amemsikia
akizungumza maneno hayo Kiarabu.

Mimi niliwafikia baadhi ya viongozi wa TFF
na kuewaeleza hali hiyo, tayari walikuwa
wametangulia mbele yangu baada ya
kunieleza walikuwa wamemrekodi.

Walikiri kweli alifika na kuuliza hivyo,
akitaka msaada wa kuona Stars inafungwa
mabao mengi, nao wakamuwekea mtego na
kumrekodi. Juhudi zangu za kupata sauti
hiyo zilifeli baada ya wao kugoma kunipa.

Hata hivyo, walionyesha kuwa kwenye
taharuki kama mtu huyo alishirikiana na
Amunike au alikuwa na nia yake tofauti

wakidhani, huenda alitaka, kufanya hivyo
kwa mambo mawili.

Kwanza huenda ni mcheza kamari na
anashirikiana na kocha, lakini wakataka
kujiridhisha. Au pili, ni mhuni tu ambaye
alitaka Stars ifungwe mabao mengi zaidi,
TFF wachukizwe na hiyo hali na baada ya
hapo wamtimue Amunike ili alipwe rundo la
fedha ili naye afaidike.

Wakati naanza kuandika makala haya
nilielezea kuhusiana na Watanzania
tunavyoamini siri, tunaona kutosema
mambo yanayotukera ndiyo uungwana.
 
hii habari kuhusu mechi ya Kenya na Algeria siiamini hata kidogo nimeisoma nikajumlisha jibu wanalosema sio . Tff wanakwepa lawama na kuwajibika . Maximo alipochokwa ilikuwa hivyo hivyo
 
hii habari kuhusu mechi ya Kenya na Algeria siiamini hata kidogo nimeisoma nikajumlisha jibu wanalosema sio . Tff wanakwepa lawama na kuwajibika . Maximo alipochokwa ilikuwa hivyo hivyo
Unajua unaweza ukawa uko sahihi kwa mawazo yako.
Aliyeandika haya makala ni mwandishi ambaye anaweza kuthibitisha haya.
Unapopinga usipinge bila hoja. Je, ulikuwepo misri? Je, ulikuwepo Kwenye chumba cha kubadilishia?
Inawezekana ikawa kweli haya yalitokea.
Pili, haya yananipa kua inawezekana ni kweli kutokana na situation ya akina Yondani na Nyoni kutaka kustaafu afu wanakataliwa wanakubali, jambo linaonesha kua walitaka kustaafu kwa sababu walikua na hasira si kua ni jambo ambalo lilikua planned
 
Excuse nyiiingi,.. Bado hamkubali kwamba hamuwezi na tulizidiwa viwango?.. Mliingia kwa mbeleko halafu mlitarajia miujiza tena!... Acheni siasa kwe football, mpira ni Sayansi.... Wanaostahili kuwajibika wawajibike tu msitafute excuse sizizo na ukweli,... Rais wa TFF awe wa Kwanza kuwajibika...
 
Chanzo :blog ya saleh jembe



***kabla ya mechi ya Algeria kuna jamaa wa kiarabu anayesemekana ni wakala wa Emanuel Amunike aliingia kambini kwa Taifa stars na ali demand Tanzania ifungwe kwa idadi kubwa ya magoli,inadaiwa clip ipo kuna afisa wa Tff aliirekodi

**Wabunge walioenda Misri walidai walipwe posho( hili maafisa wa TFF wanaogopa kuliongelea wasije wakaitwa kwenye kamaati ya kushughulikiana kule DOM)
**Kwenye mechi ya kenya wakati TZ ikiongoza 2-1 half time badala ya Amunike kuwaongezea maarifa wachezaji yeye alitumia muda huo kuwatukana haswa Kelvin Yondani aliyemuambia kwamba anacheza kama mwanamke hali iliyopelekea yondani kulia kwa dakika moja na nusu huku wachezaji wengine wakikasirishwa na maneno hayo ,ilimlazimu mbwana samata kuingilia kati kuwatuliza wachezaji

Kipindi cha pili kenya wakasawazisha na kuongeza jingine huku yondani akijifanya kaumia na kukataa kuendelaa na mchezo.Tusi hilo la wewe ni mwanamke inadaiwa ndilo alilopewa Abdi banda kule lesotho na Amunike na Banda hakumkopesha akamjibu kwamba yeye ni mwanaume siyo mwanamke akawa frozen kwenye team kwa madai ya utovu wa nidhamu

***Amunike huyohuyo baada ya kuona wachezaji hawampendi ndiye aliyeanzisha mgogoro wa kupandisha posho toka dollar 75 hadi 300 per day bila kuwasiliana na TFF,alifanya hivyo ili wachezaji wawe side yake

INAVYOONEKANA BWANA AMUNIKE ANAHUSIANA NA MAGENGE YA KAMARI maana hiyo issue ya wakala wake kutaka stars igongwe magoali mengi na Algeria plus alivyowatoa wachezaji kwenye mood dhidi ya kenya wakiwa wanaongoza 2-1 ni dhahiri hakutaka washinde.
Swaiba Wngu Kaka Yngu Mh Amani Abeid Karume anapenda sna kauli hii Mapinduzi Mapinduzi...
 
Mengi yatasemwa wazee wangu... Ila kama kweli tuhuma zinazomuhusisha kocha zina chembe ya ukweli basi wachezaji wangesema....au wanaogopa nini?
 
Unajua unaweza ukawa uko sahihi kwa mawazo yako.
Aliyeandika haya makala ni mwandishi ambaye anaweza kuthibitisha haya.
Unapopinga usipinge bila hoja. Je, ulikuwepo misri? Je, ulikuwepo Kwenye chumba cha kubadilishia?
Inawezekana ikawa kweli haya yalitokea.
Pili, haya yananipa kua inawezekana ni kweli kutokana na situation ya akina Yondani na Nyoni kutaka kustaafu afu wanakataliwa wanakubali, jambo linaonesha kua walitaka kustaafu kwa sababu walikua na hasira si kua ni jambo ambalo lilikua planned
Sawa yondani inabidi adhibitishe hilo
 
Algeria walitufunga goli 7 wakati kocha akiwa Mkwasa,tumecheza na Algeria tayari wameshafuzu ndio maana walipumzisha karibu timu nzima except golikipa

Acheni kutafuta sababu timu ni mbovu na TFF ndio tatizo
muwe mnaelewa basi watu wengine...kha?huyo ni wakala wa Amunike aliyetaka hivyo maana yake alitaka walau goals 7 hadi 10 kuna magenge ya kamari yatakuwa yaliweka labda odd ya Tanzania kufungwa 10 au 15-0 hapo ikitokea kuna mtu anakula hela nyingi kila mtu algeria alijua angeshinda ila ingetokea 15 -0 huoni ni wehu huo?
hiyo issue siyo ndogo ni kamari kabisa hiyo.
 
Kumbe mleta mada ni yule ambaye ameshaandika mada zaidi ya 10 dhidi ya Mwinyi Zahera
 
Pumba kabisa
muwe mnaelewa basi watu wengine...kha?huyo ni wakala wa Amunike aliyetaka hivyo maana yake alitaka walau goals 7 hadi 10 kuna magenge ya kamari yatakuwa yaliweka labda odd ya Tanzania kufungwa 10 au 15-0 hapo ikitokea kuna mtu anakula hela nyingi kila mtu algeria alijua angeshinda ila ingetokea 15 -0 huoni ni wehu huo?
hiyo issue siyo ndogo ni kamari kabisa hiyo.
 
Mie nilijua tu baada ya kutolewa atatafutwa mchawi ili wabunge wasionekane wamepoteza muda na rasilimali kwenda kule zengwe lihamishwe halafu watanzania wasahau. Ila sawa bandugu tumeshasahu. [emoji124][emoji124][emoji124]
 
Ilani imechanika sasa anatafutwa mchawi na visingizio vya kocha. Tuache polifootball
 
Ka CV ka mshikaji kumbe kepesiiiii...sijui jamaa walimwokota wapi

ClubAppointedIn charge untilPositionMatchesPPM
Tanzania Tanzania18/19 (Aug 6, 2018) 19/20 (Jul 8, 2019) Manager90,78
Khartoum Club
Sudan
Khartoum Club
17/18 (Nov 7, 2017) 18/19 (Aug 5, 2018) Manager--
Nigeria U17 Nigeria U1714/15 (Jul 1, 2014) 17/18 (Nov 1, 2017) Manager101,90
 
Acha chuki na mtu usiyemjua... always we hate wat we can't afford.. mtu humjui ila kashfa kibao.. yaan waogope kusema hao TFF ww umejuaje au Salehe jembe amejuaje? Badala ya Amunike kuandika CV yake kwa kuifikisha nusu fainali AFCON yeye abet timu yake mwenyewe ifungwe goli nyingi?? How about KENYA waliofungwa 2 na hao Algeria??
UNAFIKI KWA MTOTO WA KIUME NI AIBU.
MTU UNAROPOKA KANA KWAMBA UMEKALIA MUHOGO.
 
Back
Top Bottom