Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AMUNIKE NI MVUTA BANGIChanzo :blog ya saleh jembe
![]()
EXCLUSIVE: PAMOJA NA MATUSI YA AMUNIKE, SAMATTA ALIOKOA JAHAZI YONDANI KURUDI UWANJANI, UGOMVI WAKE NA BANDA HUU HAPA-2
Na Saleh Ally aliyekuwa Cairo MAKALA haya yalianza jana wakati nilipoelezea hali iliyojitokeza katika kambi ya Taifa Stars ji...salehjembe.blogspot.com
***kabla ya mechi ya Algeria kuna jamaa wa kiarabu anayesemekana ni wakala wa Emanuel Amunike aliingia kambini kwa Taifa stars na ali demand Tanzania ifungwe kwa idadi kubwa ya magoli,inadaiwa clip ipo kuna afisa wa Tff aliirekodi
**Wabunge walioenda Misri walidai walipwe posho( hili maafisa wa TFF wanaogopa kuliongelea wasije wakaitwa kwenye kamaati ya kushughulikiana kule DOM)
**Kwenye mechi ya kenya wakati TZ ikiongoza 2-1 half time badala ya Amunike kuwaongezea maarifa wachezaji yeye alitumia muda huo kuwatukana haswa Kelvin Yondani aliyemuambia kwamba anacheza kama mwanamke hali iliyopelekea yondani kulia kwa dakika moja na nusu huku wachezaji wengine wakikasirishwa na maneno hayo ,ilimlazimu mbwana samata kuingilia kati kuwatuliza wachezaji
Kipindi cha pili kenya wakasawazisha na kuongeza jingine huku yondani akijifanya kaumia na kukataa kuendelaa na mchezo.Tusi hilo la wewe ni mwanamke inadaiwa ndilo alilopewa Abdi banda kule lesotho na Amunike na Banda hakumkopesha akamjibu kwamba yeye ni mwanaume siyo mwanamke akawa frozen kwenye team kwa madai ya utovu wa nidhamu
***Amunike huyohuyo baada ya kuona wachezaji hawampendi ndiye aliyeanzisha mgogoro wa kupandisha posho toka dollar 75 hadi 300 per day bila kuwasiliana na TFF,alifanya hivyo ili wachezaji wawe side yake
INAVYOONEKANA BWANA AMUNIKE ANAHUSIANA NA MAGENGE YA KAMARI maana hiyo issue ya wakala wake kutaka stars igongwe magoali mengi na Algeria plus alivyowatoa wachezaji kwenye mood dhidi ya kenya wakiwa wanaongoza 2-1 ni dhahiri hakutaka washinde.
Uyo shoga tuHumjui yondani cotton juice wewe,yondani angeambiwa mwanamke umo changing room kusingetosha
Mteke weweAmunike asipo tekwa, basi nitaamini wasio julikana watakuwa ni mashoga.....