Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Status
Not open for further replies.
Whatever the reason, kumshangilia huko kumefunga mijadala yote inayomuhusu amabyo ingeweza ibuka huko bungeni, make ndo keshavuka vikwazo.
hongera mzee!
 
Wabunge wamefanya makosa kushangilia "mambo binafsi" na yasiyo na umuhimu kitaifa
 
Inawezekana pia ni namna ya solidarity ya wabunge for their beleaguered colleague - which I think is really nice of them.
 
Mtanzania,

Kwa hawa jamaa, gazeti halina credibility likiwasema CHADEMA. This was a direct reporting case. Kipindi cha maswali na majibu Bungeni kipo wazi hata kwenye TV kinaonyeshwa. Saa nyingine ushabiki noma sana. Yaani mtu anakataa kitu ambacho kimeshuhudiwa na ulimwengu mzima!
 
Lakini mara nyingi wabunge hucheka wote kwa pamoja katika mambo ya utani zaidi na kwa hakika kicheko kwa Zitto hakikua na maana yoyote zaidi ya utani ambao umekua ukiendelea kati ya Zitto na wabunge wenzake tokea aanze katika vikao vya kamati Dar na hadi hapa Dodoma, wengi wamekua wakicheka na kumtania lakini hakuna aliyeonyesha chuki wala mashambulizi. Kimsingi wameliona suala la AC ni suala binafsi zaidi na pengine linaweza kuwa limekuzwa ama kupotoshwa kwa maslahi binafsi. Lakini pia, inawezekana kuna SIRI KUBWA ZAIDI ndani ya vifua vya waheshimiwa hao ambao haiwezekani wakawa wote walijiandaa kucheka na kushangilia
 
JF je sisi tuna credibility kweli? Kama ni hivyo basi ni Watanzania wote tuna hayo matatizo.

Kuna magazeti mengi tu yanajitahidi Tanzania pamoja na mazingira ya kazi kuwa magumu sana ukilinganisha na huku nje. Tuwalaumu wanapokosea lakini tuwape sifa zao wanaposema ukweli, kusema magazeti yote yamekosa credibility nafikiri umeenda mbali mno.
 
Lakini mara nyingi wabunge hucheka wote kwa pamoja katika mambo ya utani zaidi na kwa hakika kicheko kwa Zitto hakikua na maana yoyote zaidi ya utani ambao umekua ukiendelea kati ya Zitto na wabunge wenzake tokea aanze katika vikao vya kamati Dar na hadi hapa Dodoma, wengi wamekua wakicheka na kumtania lakini hakuna aliyeonyesha chuki wala mashambulizi. Kimsingi wameliona suala la AC ni suala binafsi zaidi na pengine linaweza kuwa limekuzwa ama kupotoshwa kwa maslahi binafsi. Lakini pia, inawezekana kuna SIRI KUBWA ZAIDI ndani ya vifua vya waheshimiwa hao ambao haiwezekani wakawa wote walijiandaa kucheka na kushangilia

Asante kwa ufafanuzi.
 
Siku atakapoamka AC kuuliza swali, je waheshimiwa watashangilia?????????

Naomba kutoa swali!!!
 
wabunge wanamshangiria kwa kumpongeza kulamba toto, si unajua tena jogoo huyo. lazima wamfagilie
 
Kweli Mwana wa Kijiji ni swahiba wa Zitto au ni muumini mzuri wa CHADEMA kwa jinsi alivyorukia utetezi wa Zitto maana swali zuri haliwezi kushangiliwa kabla halijaulizwa.
Ukipenda kipofu utasema ni kengeza. cha ajabu amejiunga na hicho chama akiwa marekani january mwaka huu. hajui tawi wala ofisi za chama ziko zipi.
 
Mswahili,
Na kadi yake ya kujiunga wewe ndiye uliyemkabidhi!
 
Mswahili,
Na kadi yake ya kujiunga wewe ndiye uliyemkabidhi!

siwezi kuwa mwanachama wa NGO. Nenda Kigoma toka Zitto awe Mbunge vimefumuka NGO za mikobani nyinyi sana hadi mama yake kamfungulia. Mnyika John anazo tatu.
Jasusi utaingia vipi chama bila kujua kina vision gani? uchaguzi wa mwaka juzi hadi dakika za mwisho ndio wameleta mgombea urais baada ya kuona aibu watu wamshtuka hii NGO au chama. wakaja na mgombea wa kuokota.DJ Mbowe. Siwezi kuwa Chadema nilijua kama Mkumbo atapewa uenyekiti ningemfuata. lakini comments zake dhidi yangu jana kwenye thread ya wanene na marupurupu imenifanya nifikiri tena. kumbe jamaa naye anaongozwa na Jazba.
 
Mimi nadhani ifike mahali sasa hawa jamaa tuwaache wapumue kidogo. Unless kuzuke jambo jipya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom