Pinokyo SKN
Member
- Feb 8, 2007
- 33
- 1
Magazeti leo Bongo................
DrWho,
Hata thisday?
Lakini mara nyingi wabunge hucheka wote kwa pamoja katika mambo ya utani zaidi na kwa hakika kicheko kwa Zitto hakikua na maana yoyote zaidi ya utani ambao umekua ukiendelea kati ya Zitto na wabunge wenzake tokea aanze katika vikao vya kamati Dar na hadi hapa Dodoma, wengi wamekua wakicheka na kumtania lakini hakuna aliyeonyesha chuki wala mashambulizi. Kimsingi wameliona suala la AC ni suala binafsi zaidi na pengine linaweza kuwa limekuzwa ama kupotoshwa kwa maslahi binafsi. Lakini pia, inawezekana kuna SIRI KUBWA ZAIDI ndani ya vifua vya waheshimiwa hao ambao haiwezekani wakawa wote walijiandaa kucheka na kushangilia
Ukipenda kipofu utasema ni kengeza. cha ajabu amejiunga na hicho chama akiwa marekani january mwaka huu. hajui tawi wala ofisi za chama ziko zipi.Kweli Mwana wa Kijiji ni swahiba wa Zitto au ni muumini mzuri wa CHADEMA kwa jinsi alivyorukia utetezi wa Zitto maana swali zuri haliwezi kushangiliwa kabla halijaulizwa.
Ukipenda kipofu utasema ni kengeza. cha ajabu amejiunga na hicho chama akiwa marekani january mwaka huu. hajui tawi wala ofisi za chama ziko zipi.
Mswahili,
Na kadi yake ya kujiunga wewe ndiye uliyemkabidhi!
He!he!he!heee