Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Status
Not open for further replies.
Nilimtajia mtu mmoja kuwa inawezekana kuwa hilo ni kumbatio la pole, lakini jamaa akasema inawezekana ni kumbatio la ushindi.
 
Lakini si usalama wa taifa huwa hawana urafiki na viongozi wa kitaifa kwa vile mojawapo ya kazi zao ni kuwachunguza viongozi hao?

kichuguu, sio Tanzania ambapo serikali ya CCM huonekana kumiliki kila kitu hadi UWT na vyombo vya dola.
 
Mimi ninavyopenda kudadisi picha, kwenye mazingira kama hayo na kwa maumbo ya watu hao, mtu ambaye anamlaki mwenzake kwa kumpa pole,kwa wanaume hata wanawake ingelimbidi awe amefungua macho,ila mwombolezaji anayelakiwa anaweza kuwa amefumba au kufumbua macho.

Kumbatiano hilo mara nyingi kama linavyo onekana kwenye picha, inaonyesha hao watu wanafahamiana vizuri sana.

Kumbatiano hilo lina fanana sana na lile la kimapenzi au pia la kuoneana haya baada ya mmoja kati ya washiriki kushindwa katika shindano mojawapo(accepting defeat).

Lakini tafsiri nyingine kutoka katika picha hiyo ni kwamba,anayelaki anajikosha na kwa kufumba macho anafikiri hataonyesha mabaya yake(guilty consciousness) kwa mwenzake bila kujali watazamaji waliopo, kwani katika kulakiana vitu na watu wote waliopo huwa havina maana kwa waliopo au mashuhuda, kama kitu hicho kinatendeka kwa mapenzi ya mioyo. Haya ni mawazo yangu.

SteveD.
 
makubwa haya, hatuna haja ya scotland yard ,tuna wataalam hapahapa JF who can interpret from facial expressions,body languages, gestures and even hugs!!!
 
Mimi ninavyopenda kudadisi picha, kwenye mazingira kama hayo na kwa maumbo ya watu hao, mtu ambaye anamlaki mwenzake kwa kumpa pole,kwa wanaume hata wanawake ingelimbidi awe amefungua macho,ila mwombolezaji anayelakiwa anaweza kuwa amefumba au kufumbua macho.

Kumbatiano hilo mara nyingi kama linavyo onekana kwenye picha, inaonyesha hao watu wanafahamiana vizuri sana.

Kumbatiano hilo lina fanana sana na lile la kimapenzi au pia la kuoneana haya baada ya mmoja kati ya washiriki kushindwa katika shindano mojawapo(accepting defeat).

Lakini tafsiri nyingine kutoka katika picha hiyo ni kwamba,anayelaki anajikosha na kwa kufumba macho anafikiri hataonyesha mabaya yake(guilty consciousness) kwa mwenzake bila kujali watazamaji waliopo, kwani katika kulakiana vitu na watu wote waliopo huwa havina maana kwa waliopo au mashuhuda, kama kitu hicho kinatendeka kwa mapenzi ya mioyo. Haya ni mawazo yangu.

SteveD.

I like your analysis
 
Marehemu alikuwa aki sponsor watoto 10 Yatima ktk elimu zao na maisha yao. Je, jukumu hilo kalichukua nani?... Mkapanjia au EN!
 
Mwanakijiji,
Hili swala la talaka ni swala la Madhehebu kwa hiyo msitake kulivisha kofia na kuliweka kama ni swala la jumla ktk dini Islaam.
Swala la ndoa waumini wengi sana huchanganya pia na mila na sheria za nchi pia. Na kuna tofauti nyingi ktk tafsiri za baadhi ya aya kulingana na mapokezi ya hadithi yenyewe, iwe ktk Kuran ama Biblia..

Kwa mfano kuna wanao amini kuwepo kwa Muda wa seperation ktk talaka wakati mwanamke amekaa eda ya talaka. Kuna eda ya talaka na pia kuna eda ya kifo. Amina alikuwa bado hajamaliza muda wa eda yake ya ndoa!
Kwa hiyo muda wa seperation unapokwisha bila suluhu huyo mwananmke anaweza ku move on hakuna haja ya Talaka ama barua, wengine wanadai ni lazima kuwepo na talaka nyingine na wengine wanadai kuwa huyo mwanamke akiwa ktk eda bado ni mkeo kwa sababu ni seperation period... na wengine wanadai kuwa seperation ndio kuachana huko kinachosubiriwa hapa ni suluhisho.
All in all mjomba ukisha toa talaka mimi nadhani mtu unakuwa umesha amua. Tena basi kuna seperation period hata ktk ndoa za Kikristu, na hata serikali inazitambua sheria hizi sioni kitu cha ajabu hapa.
Iwe kiislaam ama Kikristu au kiserikali (inategemea nchi), kote kuna muda wa seperation kabla divorce haijatolewa. Can someone move on during separetion period?... Ooooh Yeah!.. dunia imebadilika.
 
mkandara kwa hapa uko right kule kwengine nnaona una
yako nnakusudia dini na .....kwa besty na wenziwe ila hapa nnakupa tano
 
Lazima pia ukumbuke kuwa ile ilikuwa talaka moja, na ina maana yake. Yaani kwamba kuna kila uwezekano wa kurudiana tukimaliza tofauti zetu ama ukijirekebisha ama kwasababu moja au nyingine mume akibadilisha uamuzi wake. Kwa mfano, mwanamke wa Ki-Islam akipewa talaka moja haruhusiwi kuolewa ama kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu mwingine. Hiyo inaitwa kwa maneno ya mtaani, talaka rejea. Ukipewa tatu, ndio biashara imekwisha kabisa na hata mume akitaka kuwa na wewe tena haruhusiwi mpaka mwanamke awe ameolewa na kuachwa na mwanamme mwingine. Kwahiyo, hata kama ile talaka moja bado ilikuwa inasimama, bado mwanamme anatambuliwa kuwa mume wa marehemu!

HAKUNA TALAKA TATU AU TALKA REJEA KATIKA UISLAM

na nakushangaa unatoa nalysis bila kuja na aya ya ku back up hiyo analysis yako

TALAKA NI MOJA TUUU na kama unazungumzia madhehebu mengine sawa na bora uwe up front na hilo kabla hujaendelea
 
Mkandara,

Hata mimi nadhani Barabaraya18 amekuwa too strict na talaka ya kiislamu. Nilikwishaona watu wanapeana hizo talaka moja na kurudiana kabla hata ya mwezi kupita bila fanfare yoyote. Sasa aliposema kuwa hawawezi kurudiana hadi mwanamke aolewe na mme mwingine na kuachika tena ndipo warudiane kweli ikanichanganya sana. Ndiyo maana hata baba yake marehemu ile siku ya tareher 8 May alifafanua kuwa bintiye alipewa talaka moja tu kwa hiyo haikuwa hitimisho la ndoa yao.

Nadhani kuwa kanisa la katoliki halina talaka kabisa. Wana ule msingi unaosema "Akishaunganisha Mungu binadamu hawezi kutenganisha." Mkishindana katika ndoa yenu mnaweza kuachana kinyeji tu kila mtu akaenda kivyake lakini kisheria mtaendelea kuwa wanandoa.
 
Mwanakijiji,
Hili swala la talaka ni swala la Madhehebu kwa hiyo msitake kulivisha kofia na kuliweka kama ni swala la jumla ktk dini Islaam.
Swala la ndoa waumini wengi sana huchanganya pia na mila na sheria za nchi pia. Na kuna tofauti nyingi ktk tafsiri za baadhi ya aya kulingana na mapokezi ya hadithi yenyewe, iwe ktk Kuran ama Biblia..

Kwa mfano kuna wanao amini kuwepo kwa Muda wa seperation ktk talaka wakati mwanamke amekaa eda ya talaka. Kuna eda ya talaka na pia kuna eda ya kifo. Amina alikuwa bado hajamaliza muda wa eda yake ya ndoa!
Kwa hiyo muda wa seperation unapokwisha bila suluhu huyo mwananmke anaweza ku move on hakuna haja ya Talaka ama barua, wengine wanadai ni lazima kuwepo na talaka nyingine na wengine wanadai kuwa huyo mwanamke akiwa ktk eda bado ni mkeo kwa sababu ni seperation period... na wengine wanadai kuwa seperation ndio kuachana huko kinachosubiriwa hapa ni suluhisho.
All in all mjomba ukisha toa talaka mimi nadhani mtu unakuwa umesha amua. Tena basi kuna seperation period hata ktk ndoa za Kikristu, na hata serikali inazitambua sheria hizi sioni kitu cha ajabu hapa.
Iwe kiislaam ama Kikristu au kiserikali (inategemea nchi), kote kuna muda wa seperation kabla divorce haijatolewa. Can someone move on during separetion period?... Ooooh Yeah!.. dunia imebadilika.

UMESAHAU KITU:

kwanza ni separation kisha kinachofuata ni DIVORCE

IN OTHER WORDS,

Amina hakuwa separated bali alikuwa DIVORCED au kwa maelezo zaidi ni kuwa AMINA kafariki bila MUME na huyo MEDI MPAKANJIA kudai kuwa amina ni MKEWE ni kuwa anafanya dhambi kubwa kwani AMINA si mkewe bali ni MAMA WATOTO WAKE ambaye zamani alikuwa MKEWE!

Sasa sheikh MKANDARA kama unaweza ku back up hoja yako kwa kutupa link au website then tutashukuru
 
... kabla hawajavunja muungano wao wa kifamilia na haswa katika talaqa ivunjikayo (ya kwanza au ya pili) ... hiyo eda ni kutoa fursa na muda kwa mume na mke baada ya talaka huenda kwa kipindi hicho wakamaliza tofauti zao na kurudiana na kuishi ...

kwa habari zaidi ya habari hii tembelea link hii ya kiswahili

http://www.alhidaaya.com/sw/search/node/talaka+katika+uislam

katika mada ya eda imeelezwa kwa urefu na ushahidi upo

cha msingi kuangalia dhehebu gani si kuja na ushabiki tu
 
Mkandara,

Hata mimi nadhani Barabaraya18 amekuwa too strict na talaka ya kiislamu. Nilikwishaona watu wanapeana hizo talaka moja na kurudiana kabla hata ya mwezi kupita bila fanfare yoyote. Sasa aliposema kuwa hawawezi kurudiana hadi mwanamke aolewe na mme mwingine na kuachika tena ndipo warudiane kweli ikanichanganya sana. Ndiyo maana hata baba yake marehemu ile siku ya tareher 8 May alifafanua kuwa bintiye alipewa talaka moja tu kwa hiyo haikuwa hitimisho la ndoa yao.Nadhani kuwa kanisa la katoliki halina talaka kabisa. Wana ule msingi unaosema "Akishaunganisha Mungu binadamu hawezi kutenganisha." Mkishindana katika ndoa yenu mnaweza kuachana kinyeji tu kila mtu akaenda kivyake lakini kisheria mtaendelea kuwa wanandoa.

Maalim KICHUGUU kwa taarifa yako kati ya watu ambao wana mitazamao ambayo ni LIBERAL katika uislam basi ni mimi na kwa taarifa yako nadhani UISLAM ni one of the most liberal religions sasa kusema kuwa nina mtazamo ambao ni too STRICK ni kosa kwa sababu huo si MTAZAMO wangu bali ni MTAZAMO wa ORTHODOX ISLAM ambao bi Amina alikuwa anaufuata.

Vile vile ningependa kukumbusha kuwa in ISLAM YOU CANNOT PICK AND CHOSE, sasa hao ambao umewaona ambao wanaacha kisha baada ya wiki mbili wanarudiana bila kufuata misingi na sheria za kidini wanafanya ZIN'AA tuuu

Baba yake Amina kama mzazi ambaye kwa kipindi kifupi nilichomjua nimeweza kutengenza picha ya kuwa ni mzazi ambaye yuko very protective kwa bintiye kama mzazi mwingine yeote lakini along the way naona ameingiliwa na ha WAGALA ambao wameamua kumtumia (eidha kwa kujua au kutokujua)kwa ajili ya maslahi yao. Huyu mzee alikuwa hana haja ya kutoa ma statement kila kukicha kuhusu ndoa ya mwanae, yaani unajua kuwa Mzee CHIFUPA amekuwa ATTENTION SEEKER na hii sasa inafanya watu waanze kufungua hizo SKELETONS kwenye closet ya familia yake. In short sishngai kama mzee shifupa anadai kuwa talaka aliyopewa amina ni moja na haikuwa khiimisho la hiz talaka tatu! LOOK WHO IS TALKING, huyu mzee watu wake wa karibu ni WAGALA sasa ulitegemea nini? Sasa usijeshangaa KHITMA ya Amina ikaja somwa UWANJA WA TAIFA...of course kuwaridhisha WAGALA

Umezungumzi UKATOLIKI, lakini tofauti na uislam ukatoliki hautambui mambo ya DIVORCE lakini UISLAM hiyo ni ruksa kwani ISLAM unatambua kuwa sisi ni binadamu na hakuna haja ya kuendelea kungangania kuwa katika ndao ambao wana NDOA hawaifurahiii nivyo TALAKA ni rukhsa, LAKINI RUKHSA YENYEWE in PROTOCALS ZAKE na moja wapo ni hiyo SEPARATION ambayo nayo kuna HEKIMA YA M/MUNGU ndani yake kwa nini aliamuru iwe hivyo.
 
Ninavyofahamu mimi kutokana na talaka ya kiislamu ni kuwa: Uislamu unaruhusu talaka moja, mbili mpaka ya tatu. Yaani mume akitoa talaka ya kwanza anaweza kumrejea mwanamke aliyemtalaka kambla ya kipindi kile cha eda hakijamalizika (mienzi mitatu), so ikiisha ile eda na mwanamume hajamrejea huyo mwanamke (kumrejea kwenyewe ni kwa huyo mwanamume kumtamkia mwanamke aliyemtaliki kuwa nimekurejea)basi itabidi kwa mwanamume kwenda kuposa tena na kulipa mahari tena kwa huyo mwanamke aliyemtaliki.

Ame akiwa amemaliza zote tatu basi hana haki tena ya kumrudia wala kumuoa tena unless aolewe na mwanamume mwengine then amuache ndio yule mwanamume wa kwanza (alyemtaliki talaka tatu) ataruhusiwa na sheria kumuoa tena.

NB:

kama muda wa eda umeisha na yule mwanamume aliyemtaliki hajamrudia basi mwanamke huyo atakuwa na ruhusa ya kuolewa na mwanamume mwengine, hata kama hajapewa talaka zote tatu na yule mwanamume wa kwanza.

hata hivo kama ilivyosemwa hapo juu kuwa kuna tofauti za madhebu juu ya hizo talaka tatu zitolewe vipi? yaani kama mwanamume atamuacha mwanamke talaka zote tatu kwa mara moja wengine wanasema inahesabika ni moja tu ama wengine wanasema ni tatu (Allahu aalam)

hivyo ndivyo ninavyoelewa mimi
 
... kabla hawajavunja muungano wao wa kifamilia na haswa katika talaqa ivunjikayo (ya kwanza au ya pili) ... hiyo eda ni kutoa fursa na muda kwa mume na mke baada ya talaka huenda kwa kipindi hicho wakamaliza tofauti zao na kurudiana na kuishi ...

kwa habari zaidi ya habari hii tembelea link hii ya kiswahili

http://www.alhidaaya.com/sw/search/node/talaka+katika+uislam

katika mada ya eda imeelezwa kwa urefu na ushahidi upo

cha msingi kuangalia dhehebu gani si kuja na ushabiki tu

Amina alishamaliza muda wa hiyo SEPARATION na ndio maana TALAKA YAKE iko valid

Mwanakijiji, ajabu ulivyokuwa na USHABIKI wa amina basi hata DHEHEBU lake ulikuwa hujui vipi?

SASA UMEONA KWA NINI MWANZO NILIKUWAMBIA katika hii bora uwe msomaji NA MUULIZA maswali ambayo siyo ya kijinga assuming kuwa majibu unayo sema unataka kuchea watu akili humu
 
Ninavyofahamu mimi kutokana na talaka ya kiislamu ni kuwa: Uislamu unaruhusu talaka moja, mbili mpaka ya tatu. Yaani mume akitoa talaka ya kwanza anaweza kumrejea mwanamke aliyemtalaka kambla ya kipindi kile cha eda hakijamalizika (mienzi mitatu), so ikiisha ile eda na mwanamume hajamrejea huyo mwanamke (kumrejea kwenyewe ni kwa huyo mwanamume kumtamkia mwanamke aliyemtaliki kuwa nimekurejea)basi itabidi kwa mwanamume kwenda kuposa tena na kulipa mahari tena kwa huyo mwanamke aliyemtaliki.

Ame akiwa amemaliza zote tatu basi hana haki tena ya kumrudia wala kumuoa tena unless aolewe na mwanamume mwengine then amuache ndio yule mwanamume wa kwanza (alyemtaliki talaka tatu) ataruhusiwa na sheria kumuoa tena.

NB:

kama muda wa eda umeisha na yule mwanamume aliyemtaliki hajamrudia basi mwanamke huyo atakuwa na ruhusa ya kuolewa na mwanamume mwengine, hata kama hajapewa talaka zote tatu na yule mwanamume wa kwanza.

hata hivo kama ilivyosemwa hapo juu kuwa kuna tofauti za madhebu juu ya hizo talaka tatu zitolewe vipi? yaani kama mwanamume atamuacha mwanamke talaka zote tatu kwa mara moja wengine wanasema inahesabika ni moja tu ama wengine wanasema ni tatu (Allahu aalam)

hivyo ndivyo ninavyoelewa mimi

chonde SHEKHE

hebu tunaomba evidence kuonyesha kuwa katika UISLAM kuna TALAK 3
 
Jamani hivi hakuna wanazuoni walioyasoma haya mambo..kama taaluma wamwage vitu hapa? Barabaraya18 na mimi ananichanganya..anataka wengine waback up statement zao na aya za ushahidi wakati yeye hajatupa aya zinazosupport hoja zake za talaka moja tuu......mkuu tupe vitu...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom