Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mbaya sana kwa kweli sema njaa inawafanya watu wasio wavumilivu kuwa majambazi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aiseee hatari sana halafu aibuuuuuu
Hata sishangai kwa mishahara ya hao askari kutapeli nyama ni haki yao, nao wamechoka kuwalisha watoto wao maharage kila siku.
Sasa kama askari wamegeuka wezi wao wakamatwe na nani?
Hii sasa ndio vita ya kiuchumi.
Huyo msajili wa bodi ya nyama anaitwa Imani Sichalwe, namfahamu vizuri sana alikuwa mwalimu wangu chuo cha mifugo Tengeru, kwa kweli alikuwa katili tangu akiwa chuoni hapo, uliza mwananchi yeyote aliyepitia pale LITI TENGERU miaka ya 2000 na kadhaa atakupa habari! Ajirekebishe bwana gentleman kabisa unakuwa mpuuzi namna hiyo? Ni mtu anayeamini katika mabavu! Nafasi yenyewe kwanza kaipata kwa kubebwa, dadake alikuwa mkurugenzi hapo wizara ya mifugo ndiye aliyemmegea pande hilo!Huyo afisa wa bodi ya nyama waliesema ni katili anaitwa imma ni yupi aliekamata nyama za watu ndani ya machinjio
Hakuna haki katika kudhulumu haki ya mtu, hata wangekuwa wanalipwa mshahara elfu 50, hiyo siyo sababu ya kudhulumu au kuiba, wao wapambane na wakubwa wao want ngezewe mishahara. Ikishindikana wawe na subiria na moyo wa kutosheka.Hata sishangai kwa mishahara ya hao askari kutapeli nyama ni haki yao, nao wamechoka kuwalisha watoto wao maharage kila siku.
Sasa kama askari wamegeuka wezi wao wakamatwe na nani?