Kashfa: VETA yadaiwa kudorora kwa kiwango cha kutisha

Mkuu unaongelea VETA gani labda, watumishi wa VETA wanalipwa na serikali wala sio VETA inayotoa mishahara. So mshajara huwa unaingia tarehe 22 ama 23.
VETA haijadororora kama wewe unavyoongea bila kufanya utafiti. Shida iliyoko VETA kwa sasa hela inatoka moja kwamoja serikali kuu, kwa kutumia mfumo wa MUSE tofauti na zaman hella zilikuwa zinaingia account ya VETA anzia mishahara na kila kitu
Hii ilikuwa ni 2%ya SDL. kitu hicho sasa hakipo bali VETA wanapewa sawa na shule ya secondari kutegemea ABB zao ambazo huandaliwa kabla ya mwaka wa serikali kuanza.
 
Japo ninkweli pini zimekazwa tokea utawala wa hayati ulivoanza
Ila sio kama ulivyosimulia. Maisha kwa watumishi yapo fresh tu
 
Mkuu unaongelea VETA gani labda, watumishi wa VETA wanalipwa na serikali wala sio VETA inayotoa mishahara. So mshajara huwa unaingia tarehe 22 ama 23.
VETA haijadororora kama wewe unavyoongea bila kufanya utafiti. Shida iliyoko VETA kwa sasa hela inatoka moja kwamoja serikali kuu, kwa kutumia mfumo wa MUSE tofauti na zaman hella zilikuwa zinaingia account ya VETA anzia mishahara na kila kitu
Hii ilikuwa ni 2%ya SDL. kitu hicho sasa hakipo bali VETA wanapewa sawa na shule ya secondari kutegemea ABB zao ambazo huandaliwa kabla ya mwaka wa serikali kuanza.
Kwanini Wakufunzi wa shule ya madereva wanapukutika huku wakidai malimbikizo ya hela zao , kama wanalipwa hiki wanachodai ni nini ?
 
Ahsante sana mkuuu.huu ndo uzalendo tunaotaka.kuna shule ya serikali nilishuhudia watoto wa wanyonge wanakula ugali uliochanganywa na pumba.kwa kweli waafrika hatupendani unamlisha mtoto wa mwenzako Pumba!! Serikali ifatilie hii ishu ni janga.
 
Nitasema kweli daima , fitna kwangu mwiko
 
Taarifa zetu za Uchunguzi zinaonyesha kwamba Chuo cha Ufundi cha Taifa ( VETA ) , Kwa sasa ndio Taasisi duni kabisa miongoni mwa Taasisi kongwe za serikali ya Tanzania , zipo habari kwamba kwa sasa VETA inaweza kuahirisha mitihani kutokana na kukatika kwa umeme tu , hii ni kwa sababu hawana jenereta au hawana hela ya kununua mafuta kwa ajili ya jenereta lao la kizamani walilonalo .

Kwa mfano , VETA CHANG'OMBE wanaongoza kwa matatizo , ambapo mtoa Taarifa wetu amedokeza kwamba ukiachilia mbali UKATA wa kushindwa kununua mafuta kwa ajili ya Generetor lao la kizamani lililopitwa na wakati , HATA WAFANYAKAZI WAO WANAWEZA KUTOKULIPWA MSHAHARA MPAKA UREFU WA MIEZI 6 , ikumbukwe kwamba hii ndio taasisi inayofundisha hata wale malundo ya wanafunzi wanaodaiwa kulipiwa na ofisi ya Waziri Mkuu , Sasa kwanini wafanyakazi wao hawalipwi mshahara , ni nani anakula hela hizo , ni Mkuu wa Chuo au ni vigogo wa Wizara ?

Taarifa mpya kutoka VETA CHANG'OMBE inadokeza kwamba kitengo cha wakufunzi wa shule ya Madereva , shule ya madereva iliyoheshimika Duniani kinazidi kupukutika baada ya Zaidi ya wakufunzi 6 kuondoka kwa mkupuo kutokana na kudhulumiwa hela zao za mshahara kwa miezi mingi .

Tatizo la Chuo cha VETA linatokana na Mkuu wa Chuo cha Chang'ombe au linatokana na Wizara ?

Timu yetu ya Uchunguzi yenye watu zaidi ya 10 imeingia rasmi ndani ya Veta na itahakikisha kila uchafu unafukuliwa na kuanikwa hadharani , kama chanzo ni chuo chenyewe au kama chanzo ni serikali , basi kila kitu kitaaanikwa bila huruma .

ITAENDELEA ........
Moja ya taasisi zinazoongoza kwa ufisadi ni VETA, inaliwa tu yan
 
Taarifa zetu za Uchunguzi zinaonyesha kwamba Chuo cha Ufundi cha Taifa (VETA), kwa sasa ndio Taasisi duni kabisa miongoni mwa Taasisi kongwe za serikali ya Tanzania, zipo habari kwamba kwa sasa VETA inaweza kuahirisha mitihani kutokana na kukatika kwa umeme tu, hii ni kwa sababu hawana jenereta au hawana hela ya kununua mafuta kwa ajili ya jenereta lao la kizamani walilonalo.

Kwa mfano, VETA CHANG'OMBE wanaongoza kwa matatizo , ambapo mtoa Taarifa wetu amedokeza kwamba ukiachilia mbali UKATA wa kushindwa kununua mafuta kwa ajili ya Generetor lao la kizamani lililopitwa na wakati, HATA WAFANYAKAZI WAO WANAWEZA KUTOKULIPWA MSHAHARA MPAKA UREFU WA MIEZI 6, ikumbukwe kwamba hii ndio taasisi inayofundisha hata wale malundo ya wanafunzi wanaodaiwa kulipiwa na ofisi ya Waziri Mkuu, Sasa kwanini wafanyakazi wao hawalipwi mshahara, ni nani anakula hela hizo, ni Mkuu wa Chuo au ni vigogo wa Wizara?

Taarifa mpya kutoka VETA CHANG'OMBE inadokeza kwamba kitengo cha wakufunzi wa shule ya Madereva , shule ya madereva iliyoheshimika Duniani kinazidi kupukutika baada ya Zaidi ya wakufunzi 6 kuondoka kwa mkupuo kutokana na kudhulumiwa hela zao za mshahara kwa miezi mingi.

Tatizo la Chuo cha VETA linatokana na Mkuu wa Chuo cha Chang'ombe au linatokana na Wizara?

Timu yetu ya Uchunguzi yenye watu zaidi ya 10 imeingia rasmi ndani ya Veta na itahakikisha kila uchafu unafukuliwa na kuanikwa hadharani, kama chanzo ni chuo chenyewe au kama chanzo ni serikali, basi kila kitu kitaaanikwa bila huruma.

ITAENDELEA...
Hili swala linaweza likawa na ukweli wa 15%. Sababu Kampuni zilizo ajiri wafanyakazi zaidi ya wanne (4) yawapasa kulipa Skills Development Levy (SDL) asilimia 0.4% kila mwezi. Hiyo tozo iliwekwa na bunge kwa kusudi la kupunguza gharama za vyuo vya VETA na kurahisisha uendeshaji wake.
 
Kikokotoo chako cha % ni kiboko .

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Ahsante sana mkuuu.huu ndo uzalendo tunaotaka.kuna shule ya serikali nilishuhudia watoto wa wanyonge wanakula ugali uliochanganywa na pumba.kwa kweli waafrika hatupendani unamlisha mtoto wa mwenzako Pumba!! Serikali ifatilie hii ishu ni janga.
Hii nchi inatakiwa atokee mtu kama Hitler ili baazi ya wahuni wapigwe Shaba mchaba kweupe. Vinginevyo utajiri Wote Mungu aliouweka utaishia ardhini na wachache watajilimbikizia Mali kutokana wahuni kushika Hatamu huku watu wema wakiwa wameufyata.
 
Taarifa zetu za Uchunguzi zinaonyesha kwamba Chuo cha Ufundi cha Taifa (VETA), kwa sasa ndio Taasisi duni kabisa miongoni mwa Taasisi kongwe za serikali ya Tanzania, zipo habari kwamba kwa sasa VETA inaweza kuahirisha mitihani kutokana na kukatika kwa umeme tu, hii ni kwa sababu hawana jenereta au hawana hela ya kununua mafuta kwa ajili ya jenereta lao la kizamani walilonalo.

Kwa mfano, VETA CHANG'OMBE wanaongoza kwa matatizo , ambapo mtoa Taarifa wetu amedokeza kwamba ukiachilia mbali UKATA wa kushindwa kununua mafuta kwa ajili ya Generetor lao la kizamani lililopitwa na wakati, HATA WAFANYAKAZI WAO WANAWEZA KUTOKULIPWA MSHAHARA MPAKA UREFU WA MIEZI 6, ikumbukwe kwamba hii ndio taasisi inayofundisha hata wale malundo ya wanafunzi wanaodaiwa kulipiwa na ofisi ya Waziri Mkuu, Sasa kwanini wafanyakazi wao hawalipwi mshahara, ni nani anakula hela hizo, ni Mkuu wa Chuo au ni vigogo wa Wizara?

Taarifa mpya kutoka VETA CHANG'OMBE inadokeza kwamba kitengo cha wakufunzi wa shule ya Madereva , shule ya madereva iliyoheshimika Duniani kinazidi kupukutika baada ya Zaidi ya wakufunzi 6 kuondoka kwa mkupuo kutokana na kudhulumiwa hela zao za mshahara kwa miezi mingi.

Tatizo la Chuo cha VETA linatokana na Mkuu wa Chuo cha Chang'ombe au linatokana na Wizara?

Timu yetu ya Uchunguzi yenye watu zaidi ya 10 imeingia rasmi ndani ya Veta na itahakikisha kila uchafu unafukuliwa na kuanikwa hadharani, kama chanzo ni chuo chenyewe au kama chanzo ni serikali, basi kila kitu kitaaanikwa bila huruma.

ITAENDELEA...
Taasisi inayofaa kujiendesha kwa kutengeneza faida kama VETA haistahili kulialia...waelekeze wa strategise kuingiza fedha..................VETA inaweza kuingiza fedha nyingi sana tena sio kwa kutegemea ADA pekee za hapo chuoni...wewe inaonekana ni miongoni mwao...kama mmeshindwa tunakuja kuwatoa hapo tulete watu wapya...Nyie VETA ni wa kulilia Ruzuku?. Kweli?
 
Back
Top Bottom