Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Core function ya VETA ni training na wala sio kuingiza fedha ila inatakiwa ipewe fedha kutoka sdl. Hiyo fedha kwa sasa haitolewi kama zamani bali inatilewa kidogo sana. Pamoja na hayo haijabadilisha kitu shida tu ni ucheleweshwaji wa fedha inabidi serikali wajipange sanaTaasisi inayofaa kujiendesha kwa kutengeneza faida kama VETA haistahili kulialia...waelekeze wa strategise kuingiza fedha..................VETA inaweza kuingiza fedha nyingi sana tena sio kwa kutegemea ADA pekee za hapo chuoni...wewe inaonekana ni miongoni mwao...kama mmeshindwa tunakuja kuwatoa hapo tulete watu wapya...Nyie VETA ni wa kulilia Ruzuku?. Kweli?