Kashfa: VETA yadaiwa kudorora kwa kiwango cha kutisha

Mkuu unaongelea VETA gani labda, watumishi wa VETA wanalipwa na serikali wala sio VETA inayotoa mishahara. So mshajara huwa unaingia tarehe 22 ama 23.
VETA haijadororora kama wewe unavyoongea bila kufanya utafiti. Shida iliyoko VETA kwa sasa hela inatoka moja kwamoja serikali kuu, kwa kutumia mfumo wa MUSE tofauti na zaman hella zilikuwa zinaingia account ya VETA anzia mishahara na kila kitu
Hii ilikuwa ni 2%ya SDL. kitu hicho sasa hakipo bali VETA wanapewa sawa na shule ya secondari kutegemea ABB zao ambazo huandaliwa kabla ya mwaka wa serikali kuanza.
 
Japo ninkweli pini zimekazwa tokea utawala wa hayati ulivoanza
Ila sio kama ulivyosimulia. Maisha kwa watumishi yapo fresh tu
 
Kwanini Wakufunzi wa shule ya madereva wanapukutika huku wakidai malimbikizo ya hela zao , kama wanalipwa hiki wanachodai ni nini ?
 
Ahsante sana mkuuu.huu ndo uzalendo tunaotaka.kuna shule ya serikali nilishuhudia watoto wa wanyonge wanakula ugali uliochanganywa na pumba.kwa kweli waafrika hatupendani unamlisha mtoto wa mwenzako Pumba!! Serikali ifatilie hii ishu ni janga.
 
Nitasema kweli daima , fitna kwangu mwiko
 
Moja ya taasisi zinazoongoza kwa ufisadi ni VETA, inaliwa tu yan
 
Hili swala linaweza likawa na ukweli wa 15%. Sababu Kampuni zilizo ajiri wafanyakazi zaidi ya wanne (4) yawapasa kulipa Skills Development Levy (SDL) asilimia 0.4% kila mwezi. Hiyo tozo iliwekwa na bunge kwa kusudi la kupunguza gharama za vyuo vya VETA na kurahisisha uendeshaji wake.
 
Kikokotoo chako cha % ni kiboko .

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Ahsante sana mkuuu.huu ndo uzalendo tunaotaka.kuna shule ya serikali nilishuhudia watoto wa wanyonge wanakula ugali uliochanganywa na pumba.kwa kweli waafrika hatupendani unamlisha mtoto wa mwenzako Pumba!! Serikali ifatilie hii ishu ni janga.
Hii nchi inatakiwa atokee mtu kama Hitler ili baazi ya wahuni wapigwe Shaba mchaba kweupe. Vinginevyo utajiri Wote Mungu aliouweka utaishia ardhini na wachache watajilimbikizia Mali kutokana wahuni kushika Hatamu huku watu wema wakiwa wameufyata.
 
Taasisi inayofaa kujiendesha kwa kutengeneza faida kama VETA haistahili kulialia...waelekeze wa strategise kuingiza fedha..................VETA inaweza kuingiza fedha nyingi sana tena sio kwa kutegemea ADA pekee za hapo chuoni...wewe inaonekana ni miongoni mwao...kama mmeshindwa tunakuja kuwatoa hapo tulete watu wapya...Nyie VETA ni wa kulilia Ruzuku?. Kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…